kakika ziara ya mama salma kikwete mwezi May 2011 nchini Marekani (ARIZONA) alinusulika kukamatwa na kosa la fedha bandia baada ya msafara wake kutumia fedha za zamani , mara baada ya kutoa fedha...
Wasalamu wana jf!
Mdahalo mwingine unataraji kufanyika Jumamos hii tar 27, vyama vitatu CCM,CDM na CUF, wazungumzaji wakuu Atakuwepo Mh Mabere Marando, Nape na mmoja Wa Cuf, mwenyekiti atakuwa...
Kuna taarifa zimetolewa kama Breking news kwenye radio one kuwa kuna bar moja kubwa na maarufu huko Zanzibar imeteketezwa kwa moto, inasemekana ni bar ya nne kuteketezwa katika kipindi hiki cha...
Wananchi wakichoka,wako radhi wauliwe mpaka wafe ilimradi haki ipatikane,CCM msitake nchi ifike huko,Mmesha tufilisi vya kutosha, hapo sasa basi,Mtoto akikua na kugundua kuwa kuna haki zake za...
10 Signs You'll be Made Redundant
CareerBuilder.co.uk
As the UK labour market remains weak and job cuts are still on the agenda of many companies, workers of all sectors are on the alert --...
sasa nitawahoji wanajamii wenzangu, wanao sema ndio waseme sio na wanao sema sio waseme ndio.......hivi wanajamii cheo cha mtu anayeitwa katibu mkuu kiongozi kinaundwa na ibara gani ya katiba? na...
Baada ya Rais Jakaya Kikwete kushindwa kuchukua maamuzi magumu, hususan dhidi ya vitendo dhahiri vya ubadhirifu na uporaji wa raslimali za nchi yetu, hatimaye bunge letu tukufu limeanza kushika...
Na Rehema Mohamed
KAMPUNI ya Brands International Limited imefungua kesi katika Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara ikiilalamikia Kampuni ya Usafirishaji Dar es Salaa (UDA) kwa
madai ya kuingilia...
Samuel Eto'o is on his way to Russia, where billionaire oligarch Suleyman Kerimov will make him the highest paid footballer in the world. All the 30-year-old has to do is pass a medical and play...
Tafadhali sana tena sana, naomba mnisaidie nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye the guardian la agosti 16, 2011 na mashariti yake. Nisaidieni plz. Mtanisamehe nimeiweka humu kwan watu wengi...
Makontena hayo mawili yamekamatwa ktk bandari ya Zanzibar yakiwa na pembe za ndovu zilizokuwa zimefichwa ndani ya magunia ya dagaa. Shehena hiyo ya Dagaa imetokea Mwanza na imepakiliwa ktk boti...
Yale mazingaombe ya makampuni ya kigeni ya kujivua gamba kwa kujibadilisha jina kila wanapojisikia limerudi tena nchini na safari hii kampuni ya TanzaniteOne Mining ltd inayojihusisha na uchimbaji...
Hakika mtafanya wake za wabunge wasikanyage kabisa dodoma kama mmeanza kuchukuana kwa nguvu hivi
nahisi mmemdhtus sana sana mama a lyatonga maana kila wakati yuko na mkewe
kwa style hii amwoni...
Naomba niwaambie jambo moja ambalo wengi mnajifanya kutolijua. Ni kwamba rais wa nchi na viongozi wa nchi ni binadamu kama tulivyo sisi, hawana tofauti yoyote, na wala hawastahili kuhofiwa eti kwa...
Kwa kwel wandugu inaumiza na kutisha pia kwan hku kwetu imekuw ni kawaida ndan ya cku2 kusikia ajali kadhaa za pikipik aina ya bodaboda,kinachouwiza zaid hamna aliyepona hiv ni jion hii hii...
IPP Media is one of East Africa's largest Media conglomerates. Its chief executive officer is Reginald Mengi.
IPP Media is a private company, held under IPP Group and based in Dar es Salaam...
Jaman naomba kuuliza wanajf,hivi ukiwa unakunywa grand malta kila siku inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa kisukari? Kwasababu naona ina sukari sana,msaada plz!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.