Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Septemba 11, 2011 itatimia miaka 10 tangu yalipofanyika mashambulizi ya ugaidi huko Marekani. Lakini kabla tarehe ya maadhimisho hayo haijafika, nimesoma kitabu kinachoitwa HADAA: Unafiki...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ama kweli taifa limekuwa la wasanii na linakera kwa vimbwanga vyake! Ukisikiliza Bunge la Tz utasikia MCHAKATO, MIRADI, MEGAWATT, TAKWIMU, JITIHADA kedekede. Usijali, #TumuachieMungu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wanajF, nimesikitika sana kusikiza habari ya TBC mchana huu kuwa jairo hakuomba hela kuwahonga wabunge bali aliziomba idara zilizo chini yake kuchanga hela kufanikisha bajeti na hakuna ushahidi wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nashawishika kuamini kuwa ama kweli kuna watu wanatumia yaleee yakuketia chooni kufikiria: Mtu anaidea nzuri kabisa ya biashara, mjinga mmoja anakuja kumkatisha tama mwenzake kwa kumkariria...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
With Petrol expected to reach $2 per litre by end of 2011, these tips that I received from a friend might come in handy. TIPS ON PUMPING PETROL I don't know what you guys are paying for...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Inafaa sasa Serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete itafute majibu ya kutosha, kama haina majibu iombe radhi haraka sana. Serikali iombe radhi viongozi wa dini kwa Kikwete kusema kuwa wanajihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Diwani Auawa Kikatili; Binti Zake Wabakwa Diwani Huyo Alikatwa Mapanga Jumamosi Iliyopita Saa Sita Usiku Nyumbani Kwake. Diwani wa CCM Kata ya Bugarama, wilayani Kahama Peter Kisiminza (50)...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani haya nimatusi yanguoni haiwezekani CAG aombe aongezewe muda wakuchunguza kashifa ya kutoa pesa lukuki za wizara ya madini na nishati zizokwapuliwa na Katibu mkuu wake Bwana Jairo Hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
If you believe this you would believe anything! The government yesterday presented a programme that aims to end the chronic water shortage in Dar es Salaam and its environs, in 2015...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Wakuu Habari! Mi kwa siku kadhaa najiuliza juu ya sheria hii ya Ewura! iliyotumika kuifungia Bp kuuza mafuta kwa miezi mitatu baada ya kukaidi compliance order! Baada ya Ewura kutoa zuio,vituo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nawaombeni mwenye kitabu tajwa hapo juu nakihitaji sana hasa kipindi hiki cha waTZ kutaka KATIBA mpya(Nataka kukifanyia kazi) kwani kuna kisa cha UCHU WA MZEE MIKIDADI kinaniumiza sana...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Mzee Msekwa amenifurahisha sana maana ametumia neno la zaman sana,,,,,,,,SONGOMBWINGO,hilo neno amelitamka wakat akijibu hoja za mwanamagamba ,mwenzie aliyemtuhumu kuwa anagawa maeneo ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
watanzania kila uchaguzi idadi ya wapiga kura inazidi kupungua kibaya zaidi utawasikia wakidai mbunge wetu hatufai mara kairanja hana jipya je kama we huendi kupiga kura unategemea nini? muda wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau jana nilikuwa najimwaya mwaya na ka Airtel kangu nikiongea na mzaa chema nikijua kuwa ukiwa na Airtel mambo ni nusu shilingi kwa sekunde, mara nikasikia kisauti kilichokuwa kinani-alart kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaani nimemownea huruma kweli huyu baba kaidhalilisha kweli taalumaa ya uhasibu sikuwahi kufikiria hata siku moja atatetea uhalifu kwa kusema hansad imesema bilion 1 zilizowekwa million 550...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hawa watu wanashangaza sana yaani toka jioni niliprudi nyumbani wamekata na kurudisha umeme si chini ya mara nne.
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Hatimae Ikulu waibuka Kidedea kwa kupitia mshambuliaje wake hatari CAG..
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Watanzania wenzangu mimi naona wakati umefika wa kutonunua bidhaa za makampuni ya mafuta yalioyokuwa vinara wa mgomo wa kuuza mafuta mara baada ya bei kupunguzwa. Kwa mawazo yangu mimi kile kiasi...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, serikali yetu itapata janga kubwa la kundokewa na kiongozi mmoja mzito sana. Wale wenye kufanya dua na maombi naomba mshiriki pamoja kumuomba Mwenyezi Mungu...
0 Reactions
97 Replies
8K Views
Mwanzo tuliskia “Bila miundombinu uchumi hauwezi kukua!” hilo likaambatana na “Hakuna Taifa bila Elimu.. Kisha tukaambiwa “Kilimo Kwanza! Punde tu wakasema “Umeme ni Janga la Taifa, tuache...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom