Bei ya dhahabu imepanda katika soko la dunia leo na kuwa dola 1900 kwa tola moja ya wakia ikiwa ni ongezeko la asilimia 35 tangu mwanzoni mwa mwaka huu. wataalamu wanasema kuwa itapanda hadi...
Siku za karibuni kumekuwa na foleni ya kutisha sana kuanzia Buguruni Sheli hadi njia panda ya Tabata. Tatizo hasa ni askari traffic mmoja mweusi ana ''V'' tatu (Sajenti?) huwa anashika Radio call...
Nchi hii ni ya ajabu, yaani kijana kajipinda kasoma ili ajikombee yeye na jamii yake lakini hasaminiwi... huwezi amini vijana wanomaliza vyuo vikuu na kujiunga na jeshi la polisi wanaanza bila...
leo asb mh.Simbachiwene amelalamikia visima sitina saba vilivyochimbwa jimboni kwake havifanyi kazi kwa muda mfupi sana tangu vimejengwa,na vimebaki vinne tu vyenye afadhali...
Mwanzo tuliskia Bila miundo mbinu uchumi hauwezi kukua!
Hilo likaambatana na Hakuna naifa bila Elimu.. Kisha tukaambiwa Kilimo kwanza!
Punde tu wakasema Umeme ni Janga la Taifa, tuache...
Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye...
Wadau niko hapa airport yetu tukufu JKNIA nauza sura kwa kwenda mbele nikisubiria wageni wangu kuwapokea. Uzuri niko huku ndani kabisa. Sasa hapa kwa bench nililokaa wamejaa watu kama 8 wahindi...
Mh masaburi nahisi speed yako tunaitaji kukuingiza kwenye mashirika ya umma maana
nahisi unaitaji kuongezewa mamlaka kadhaa kuweka sawa baadhi ya wahusika
pamoja na kuteua act ceo mwenye uwezo...
Imebainika kuwa maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii inazikumba hata kampuni ambazo hazisafirishi wanyama ila...
jaman imepita muda mrefu sasa haya magazet ya alasir na dar leo cjapata kuyaona cjajua n kp klchowasb..wana jamii naomba mnsaidie kwa mnaofahamu kwa nn magazet haya hayapo?
Only buy or fill up your car or truck in the early morning when the ground temperature is still cold. Remember that all service stations have their storage tanks buried below ground. The colder...
NIMESIKITIKA KWA MAJONZI MAKUBWA KWA KUTOLEWA GADAFI LIBYA.
libya ilikuwa inaongoza njia ktk kukomboa bara la Africa,NATO na USA wamefanikiwa kutuangusha Tena Africa.
sitarajii mabadilikoa mazuri...
Jamani watanzania katika topic hii tuanze kuweka taharifa za ukwepaji kodi kwenye thread hii ili wananchi watambue tunaibiwa kiasi gani na TRA ni wazembe kiasi gani, kwa kuanza tu
1.kuna duka...
Huko katika himaya ya Kirumi kulikuwa na watawala kadhaa. Kati ya hao kulikuwa na watawala wakiitwa Caligula na Nero.
Huyu Caligula alimuua baba yake mama yake na kaka zake wawili ili...
VISION;
To be a recognized and remain a leading institution in developing police officers knowledge,skills,attitude and virtues of justice,integrity and service in the Region
MISSION;
To...
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakituma maoni yao kwenye radio mbalimbali' wakisema bora jeshi lichukue nchi.
Hata hivyo kutokana na maafisa kadhaa wa ngazi za juu jeshini kuhusishwa na kashfa...
From left: Lilian Eliah Mpinga, Asma Gharib Bilal, Frida Albinusi Nyamete, Ministry of Education Training Officer Anne Asenga, USAID Mission Director Robert Cunnane, Stanislaus Terengia Materu...
Nimeongea na baba wa taifa ktk ndoto. Anasema miaka 50 ya uhuru kuna vijimambo Tanzania tumevifanikisha kama vile kuchagua maraisi kwa wakati muafaka, kujenga vijisekondari vya kata(vya mkapa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.