Idd Amini Dada alipopigana na Tanzania lengo lake ilikuwa kuchukua kipande cha ardhi toka Tanzania, yaani eneo lote toka mto kagera (pale Kyaka) hadi Mtukula. Leo nashawishika kusema alifanikiwa...
Bwana harusi mmoja mkazi wa Makete mkoani Iringa jina na picha za harusi yake zimehifadhiwa ametoa mpya ya mwaka baada ya kugoma kata kata kuingia ukumbini kwa madai kuwa bibiharusi si...
Ndugu wana jamii nimetumiwa sms ifuatayo"RIM-Blackberry has awarded you 2,000,000 Pounds.Email NAME,COUNTRY to:ukblackberry@live.co.uk". from +4915159916575. Ninachokiona hapa ni utapeli.Kama kuna...
Ooh ma god
kwa mnaoangalia televission ya emmenuel wako na ibada inaendelea mtumishi wa mungu akasema kuna mtu
ana pete ameipata east africa njoo haraka na unapoendelea kusubiri usiku wa leo hiyo...
Source = Yahoofriends
A boy was born to a couple after eleven years of marriage.
They were a loving couple and the boy was the apple of their eyes.
When the boy was around two years old, one...
Neno hili nimelifuatilia sana na nimegundua linatumiwa sana na wenzetu wahubiri wa Kiislam.
Mfano,,Dini ambayo "Haina Mashaka",,,,,,
Kitabu ambacho "Hakina Mashaka",,,,,,,
Sasa naomba...
Kwa Kweli Waafrika ni LAANA!!
Yaana Serikali inatumia mahela meengi kupambana na mtu mwepesi kama Lema!! Kisa eti kataka haki itendekek kwenye uchaguzi wa meya!!
Angalia yanayofanyika Mwanza...
kutokana na hali halisi inavyokewnda hapa nchini tanzania, kila kitu kimevurugika, wizi kila sehemu, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa huduma muhimu kama umeme, maji, hospitali zenye madawa na...
Tanzania in talks with miners to raise royalties on gold
By: Reuters
15th August 2011
DAR ES SALAAM Tanzania plans to conclude negotiations with mining companies early next month to allow the...
Katika hali ambayo haikutegemewa compuni ya BP Tanzania imeaanza kuuza
mafuta yake katika vituo vyake. Leo tarehe 22.08.2011 kituo chake kilicho karibu na Bank M
wameanza kuuza mafuta. Kama...
UTAWALA WA GHADAFI UNAPOROMOKA UTAFUATA WA NANI? When rebels reached the gates of Tripoli, the special battalion entrusted by Gadhafi with guarding the capital promptly surrendered. The reason...
Hivi karibuni mwanasayansi mmoja nchini India, amekiri kwamba binadamu anapokufa, huja kuzaliwa tena na kupewa mwili mwingine . Hii ina maana kwamba, sisi pia tumeshawahi kuishi huko nyuma kabla...
Wa ndugu, hizi speed humps kutoka dar to arusha imekua kero. Imefikia hatua wananchi wameanza kujenga humps zao za udongo between wami and segera. Hamna hata sign ya kuzionyesha na pili ni kubwa...
Salaam wakuu...!
Asubuhi kabla sijainua miguu yangu kueleke kutafuta riziki ya kila siku nimeona mwendelezo wa kile wananchi wengi wakistaajabu kwa kituo cha luninga cha Star kutomuonyesha mbunge...
Wa ndugu, hizi speed humps kutoka dar to arusha imekua kero. Imefikia hatua wananchi wameanza kujenga humps zao za udongo between wami and segera. Hamna hata sign ya kuzionyesha na pili ni kubwa...
The Arusha District Council has embarked on a multibillion shillings project to build a new satellite town comprising hundreds of residential houses and shopping malls.
Weve already...
Bi mdogo imemlazimu kuuza nyumba yake ili kumuokoa bwana ake asinye ndoo kwa sababu ya udhamini wa mikopo aliyo kopa mkewe (bi mkubwa),ambaye amekimbia mji. Bi mdogo ni mtendaji kata,kata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.