Utawala wa kanali Muammar Ghadafi umekaribia kuangushwa,lakini je,nchi za magharibi ndio zimefika mwisho wa sera zao? kutolewa kwa Gadafi ni mwanzo wa mipango ya kutolewa mwingine
Focus on East Africa
A regional sales manager has been appointed for the East African market, Danimex welcomes Sanctus Mtsimbe.
Friday, August 12, 2011...
Wauza Dawa Kulevya Wanyongwe-Wabunge
Wapendekeza hivyo baada ya kuona mkanda wa video
Mmoja alia akikumbuka watoto wa dadake waliokufa
Pinda aahidi mahakama Maalum kwa wahalifu hao
Na Pendo...
Wakuu
Leo nilikuwa naangalia mjadala kuhusu hii mada katika Russian TV. Hoja iliyopo ni kuwa nchi za magharibi ni zipi? Je huu 'umagharibi' unatokana na sehemu nchi zilipo kijiografia au ni...
New7Wonders of Nature is an initiative started in 2007 to create a list of seven natural wonders chosen by people through a global poll. It is being led by Canadian-Swiss Bernard Weber and...
Rais Jk amesema kuwa kazi kubwa ya kiongozi ni kuwatumikia wananchi,kwa kuwasikiliza na kutatua matatizo yao,,,,,,,,,,aliongea akiwa hukooo mkoani LINDI.
MY TEKI: Sijui alimaanisha kuwa yeye ni...
Hivi majuzi nilibahatika kutembelea dodoma,off course dodoma inakua kwa kasi mno hongera kwa hilo.kilicho nipelekea kuomba muongozo ni kuwa kwa muda wote niliokuwepo dodoma,kuanzia tarehe 17/8...
Ni huyu adui justification,kujustify kila kitu Tanzania kila mtu anajustify anacho fanya. Kuanzia muhudumu hadi boss mkubwa, umeenda hotel unaletewa chakula kimeungulia unaambulia samahani na...
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa, amekiaibisha chama tawala kwa kuhusishwa na tuhuma za kutumia vibaya madaraka, akiwa mwenyekiti wa bodi chini ya wizara ya maliasili na utalii.
Inabidi...
This is not time for defending oneself. It is time for speaking the truth Attorney General Frederick Werema
By Lucas Liganga
The Citizen Chief Reporter
Legislators yesterday voiced...
Wauguzi KCMC, Mawenzi wahojiwa kwa mauaji
WAUGUZI wawili, mmoja wa Hospitali ya Rufaa KCMC na mwingine wa Hospitali ya Mkoa Kilimanjaro, Mawenzi, wanahojiwa na polisi kwa tuhuma za kula njama...
Wakuu napenda tu kuuliza hilo swala la kujivua gamba iliishia wapi?
Au mlengwa alikuwa Rostam? Maana kulikuwa na mbwembwe nyingi na maneno kibao lakini sasa hivi ni kimyaaaaa imebaki tu maongezi...
Wana JF
Munaonaje United Republic of Tanzania tukaivua gamba ! Badala ya kuwa na mfumo wa serikali mbili na wazanzibari kudai serikali tatu,na kwa vile kizazi cha sasa hawalitaki au wanalichulia...
Wanafunzi saba wa kidato cha nne shule ya sekondari umbwe wametimuliwa kwa makosa ya uvutaji bangi na wizi uliokithiri. hiyo imeamuliwa leo na bodi ya shule hiyo. imesemekana wamepewa adhabu hiyo...
Kuna mabinti ambao mwisho wa mwezi ninapoamua kwenda kujipongeza kwa moja moto na moja baridi huwa wananizengea zengea mezani. Nikiwakaribisha wanaanza kuniita majina ya ajabu; mara 'honey', mara...
Ivi hawa tanesco hawahwezi wakawa wanagawa umeme mchana kwa maeneo ya viwanda alafu kwenye makazi ya watu wanaleta usiku mpaka asubuhi!
Ingawa tatizo litakuja mpangilio wa miji yetu unakuta watu...
Wana JF,
Habari za kuaminika nilizo zipata toka Arusha Kuwa Adv. Mwale kalazwa Mt.Meru baaada ya kupata maumivu kwenye chumba cha mateso walikuwa wakitaka kujua hizo Billion ni za wateje gani, Na...
Kwenu Watanzania !
Nimesoma kwa makini kabisa kinachoendelea katika sakata la kibiashara ambalo Mh Mbowe anahusishwa na ukopaji wa kupita kiasi ! Nasema wakupita kiasi kwani Mh Mbowe alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.