"Sex desire is the most powerful of human desires. When driven by this desire, men develop keenness of imagination, courage, will-power, persistence, and creative ability unknown to them at other...
Leo nilitembelea maeneo ya Tabata kwa mwanangu, wakati narudi kwangu kule Kigamboni , ghafla kufilka pale wanapoita Tabata reli Trafiki Police alisimamisha magari ya upande mmoja ilikuokoa jahazi...
Wabunge wametishia kutopitisha bajeti ya mama Celina KOMBANI, Mbunge mmojawapo aliyetoa kitisho hicho ni FELIX MKOSAMALI. Hayo yalijiri jana kwenye semina juu ya vigogo wa madawa ya kulevya...
Jeshi la polisi linamshikilia mwanamke mmoja ambae alishirikiana na house girl kumuadhibu mtoto ambae alidokoa mboga,,,,,,
MY TAKE;UKATILI HUUU KWA WATOTO HAUVUMILIKI JAMANI
Tanzania is planning to repossess assets obtained through criminal means starting this month, after the law establishing the Assets Recovery and Forfeiture Unit came into force on July 1.
The...
Nawashangaa Agenda Participation 2000 na ActionAid. Wanatumia pesa nyingi kufanya mikutano ya hadhara, ati, Tanzania tunayoitaka isiyokuwa na mgao wa umeme! Duh! Haya, hawataki mgao, je, wana...
sijui naota ma ni kweli, hivi hii nchi inapelekwa wapi jamani? hivi kweli kuna matumaini yoyote ya sasa na baadae?
ina maana tumeridhika na haya mateso?
uporaji wa rasilimali zetu bila ya woga...
Wakuu niko nje ya jiji la Arusha naomba kupewa taarifa eti yule meya mwenye utata jijini Arusha eti amevamiwa na majambazi na ametishiwa kuuwawa! mwenye taarifa naomba aiweke hapa tafadhali.
Mimi najaribu kukumbuka uchaguzi wa mwaka 2005 Kwa jinsi watanzania walivyo kuwa na Imani kubwa kwa Rais J.Mrisho Kikwete kuliko mgombea yoyote yule!Nikwa nini?hatukuwa na imani na wagombes...
...wabunge sasa nawahoji...wanaokubali waseme ndio...wasiokubali waseme sio...NADHANI waliosema ndio wameshinda.Huu ndio utaratibu unaotumika ktk bunge letu kupitisha au kutopisha mambo muhim ya...
Kitendo cha kuwanyima mikopo wale wa "equivalent na mature entry" ni kuwanyima haki yao ya kusoma... Wote wapo chini ya serikali hiyo hiyo iliyowapa kura. Wafikirieni.
wanajamvi kupita pita nikakutana na huyu jamaa ambaye analia kila siku kwa kupigwa BAN.
Ametoka kivingine
Malaria sugu wa Ukweli
hapa ss analia!
Ni Maamuzi binafsi.
Nia ya mtandao huu...
Kashindye kuiwakilisha CHADEMA Igunga
na Mustapha Kapalata, Igunga
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kimemteua mgombea wake, Joseph Kashindye, kuwania nafasi iliyo achwa wazi...
Pamoja na kuwa na msongamano mkubwa wa watu katikati ya jiji la Kampala pengine kuliko ule wa Kariakoo jijini Dar, daladala muda wote iwe asubuhi au jioni hakuna KUGOMBANIA.
Pamoja na kuwa na...
mambo vp ndugu zangu. mm ni mtanzania nnaevizia nafasi za jeshi kwa maafisa mwaka huu. Mashaka yangu ni kwamba nnatumia miwani kwa miaka miwili sasa kutokana na myopia(kutoona mbali) sasa nna...
Fina Lyimo, Rombo
MWALIMU wa Shule ya Msingi ya Kwamaksau iliyopo Useri, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro anatuhumiwa kuwalawiti wanafunzi sita wa kiume kwa nyakati tofauti baada ya kuwarubuni...
Naombeni kujua,nasikia kuna asikari polisi mmoja songea,kibaru kimeota majani kwa kosa la kuandika barua kwa mh. rais ya kudai kuongezwa posho (ration allowance).
Mimi naomba kuuliza vyombo vya Serikali Usalama wa Taifa,takukuru,naTAA.huyu bwana Devid ngarapi ni mwezenu au yeye ni nani tumechoka vitisho vyake pale cargo gate no 6c Julius Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.