Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
"umesikia wewe k@,?§%*=¥¤yo! Una elimu, chogo kubwa lakini huna akili. Mbwa wewe! Hizo tani tatu hakikisha zinarudi we k..........yo!" halafu baada ya muda akamwambia, "utaniharibia swaumu". Ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mgawo wa umeme watikisa tena nchi Waziri wa Nishati na madini, William Ngeleja, Neville Meena, Dodoma WIKI moja baada ya kupitishwa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini iliyojaa mikakati...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jf. nna tshrt nauza zimechapishwa chata la plate number ya tz iliyoandikwa TZ1961- na GIZA TOTORO kwa chini kidogo. kwa yeyote atakaehitaji please feel free to ukweli mbaya....maalum 4 50yrs...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sana kumekuwa na malalamiko kuwa kuna wanyama pori wametoroshwa pamoja na ndege,ambapo idadi ya wanyama ni 116,Mim napinga jaman,hakuna mnyama wala ndege aliyetoroshwa,,,,,,hebu...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Naomba kufahamu mmiliki wa huu utitiri wa majumba yanayoitwa SOPHIA HOUSE yaliyoko karibu kila kona ya city center, karia koo, chang'ombe ni mali ya nani hasa na huyu sofia ni nani na iweje mtu...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Mchambuzi maarufu wa siasa afrika ya mashariki amefariki dunia. Kwa mujibu w BBC Amboka amefariki leo asubuhi mjini nairobi. Mtoto wa marehemu ameiambia bbc kuwa baba yake alipatwa na maumivu ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Napenda kujua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana Kazi zipi? Katiba anampa madaraka makubwa Rais kuteua wasaidizi wa kumsaidia kuendesha serikali, endapo msaidizi au wasaidizi hao...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Napenda kuwakaribisha wale wote waliosoma Dom sec kwenye sherehe ya mwaka ya wanadomsec itakayofanyika leo 20/08 Mbalamwezi Beach kuanzi 5 asubh mpaka tee, vinywaji na misosi kila mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hoja ya Mh. Wenje juu ya mgao wa umeme imeleta ahueni hapa Mbeya. Tangia juzi usiku tumekuwa na umeme wa uhakika. Kwa kuwa ni kitu ambacho hatujakizoea, mpaka leo hii siamini kama nipo Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eti number inayoanzia na 0732?? Ni mtandao gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Friday, 19 August 2011 20:26 0diggsdigg REX ATTONEY YAHUSISHWA NA MALIPO YA SH7 BIL. YA UENDESHAJI KESI, DHAMANA YA SH8 BIL. NAYO YALIPWA LONDON Neville Meena, Dodoma WAKATI nchi ikiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana tarehe 19 August 2011 Katika Kiwanda cha Kuzalisha Sukari cha Kilombero kwa sasa kinajulikana ILLOVO kulikuwa na Hali ya sintofahamu na iliyopelekea Wakata Miwa kuchukua Maamuzi Magumu ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
mwenyekiti wa chama cha wanainchi cuf amefiwa na kaka yake Hamad .H. Lipumba. mazishi yatafanyika Leo baada ya swala ya ijumaa, sinza palastina.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wataalam: Hivi kwanini hatualikwi kwenye daku?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FRIDAY, AUGUST 19, 2011 Fm ASSAH MWAMBENE, Luanda Angola The SADC top brass has defended election of South African President Jacob Zuma and Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete to head...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
post deleted.
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Wanajamvi napenda tujadili hii mada kwa urefu na mapana.Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mfano wa vyama ivo ni Nccr-mageuzi,Chadema,Cuf,Ccm,Updp,Ppt-maendeleo na Dp.sasa je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa CCM haikushinda kihalali, lakini ndugu zetu mlioichagua CCM mmesaidia wao kupata njia ya kuchakachua na kuweza kurudi madarakani. Matokeo yake mateso tunayopata sasa na mbaya zaidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zang jf naomba munisaidie namba au Email ya Rais Barack Obama ,nimechoka mno na nchii hii bora niwe house Boy wake. Maisha bongo co yenyewe kabisa msaada wenu jamani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu zangu nipeni tu ushauri maana nimetafakari mpaka naona siwezi nilitokea kumpenda msichana mmoja tangia mwaka 2005 mpaka mwaka 2009 Nikaona nimwandikie barua nhkamwelewesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom