Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sasa hivi ni habari za bunge/siasa tu....... ooh furani kasema hivi, kafanya hivi, kafanya vile.....lkn mwisho wa siku sioni resolutions zinazofikiwa kwa maslahi ya mtz, wala positive way-out ktk...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
More than 150 people caught after rioting swept across UK ‘were foreign nationals and will be deported’ Last updated at 4:47 PM on 19th August 2011 At least 150 foreign rioters and looters...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jana mbunge wa Nyamagana aliomba kutoa hoja bungeni kutokana na adha ya umeme unaosadikika kukoseka katika Jiji la Mwanza kwa siku 4 mfululizo, Arusha, Mbeya, Kigoma na baadhi ya sehemu za Dar...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu. Karibu kila wizara ina standby generator na mengine kwa sasa sio standby bali ni e electricity supply generator kutokana na muda yanayotumika Ofisi za Mikoa na hata wilaya kuendesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Jamiiforums imekuwa social network iliyowavutia na inawavutia vijana wengi wakubwa kwa wadogo Jf imekuwa tofauti na social network nyingine hapa tanzania maana ina mlengo tofauti. Jf imeweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo nimeshuhudia baadhi ya miskiti maarufu nchini baada ya swala ya la Ijuma waislam walikuwa wakigaiwa karatasi .waislam wengi walikuwa wakiwania karatasi hizo kwa hamu karatsi hizo zenye page...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima yenu wanajamii,naomba kwa wale wenye kufahamu website nzuri za kufanya manunuzi ya nguo na raba mtandaoni{online shopping},nimejaribu baadhi ya site za marekani hawauzi nje ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa, Mabibi na Mabwana: Kwanza kabisa poleni kwa majukumu ya siku nzima ya leo. Ningependa kuwasilisha kilio changu kuwakilisha watu wote wanaotumia Baiskeli kwa shughuli zao za kila siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa anawaibia mawakala wa M-pesa kwa kujifanya anafanya kazi vodacom kumbe tapeli anawahadaa wanampa simu ya wakala na kukiba mapesa kaisha iba zaidi ya milioni kumi huyu mwarabu kokooo jizi kuba
0 Reactions
7 Replies
4K Views
AUG 18, 2011 13:49 EDT AFRICA | ALASSANE OUATTARA | FRANCE |IVORY COAST | LAURENT GBAGBO | MBKEI | PEACEKEEPING | UNITED NATIONS | WEST AFRICA UN peacekeeper in Ivory Coast in April 2011...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
BABU KORTINI Na Makongoro Oging' Baadhi ya wagonjwa wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi waliokunywa kikombe cha Mchungaji Ambilikile Masapile (pichani) mwaka huu katika Kijiji cha Samunge, Loliondo...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida. Hivi kuna mtu...
3 Reactions
209 Replies
12K Views
1.Report ya jairo imewasilishwa siku nyingi na CAG na jamaa kakaa kimya na sitegemei lolote juu ya hili sanasana pesa zetu zimetumika bila kuserve purpose 2.Sijasikia lolote juu ya tuhuma za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama wiki mbili zimepita Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya SIMON GROUP LMT bwana Robert Simon Kasena alidai kuwa UDA ilifikia ktk hali mbaya mno ilikuwa ikiweka rehani mali zake alafu inapopewa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thursday August 18, 2011 Local News Lawrence Masha implicated in Jerry Muro case By JOYCE KABIGI, 18th August 2011 LAWRENCE Masha, the former Minister of Home Affairs, was on Thursday...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Katika siku za maisha yetu kama watanzania nimekutana na operasheni nyingi za mashirika ya umma yakiwa na lengo la kuhakikisha yanapata makusanyo ya kutosha ingizigatiwa mengi yao sasa yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Sasa hivi tunaelekea mwezi wa kumi tukia hawa wabunge wa Dar es salaama wamechaguliwa hawajafanya kitu tokea wachaguliwe. Haiwezekani kwa miezi kumi mtu anawakilisha wananchi zaidi ya millioni 2...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
THURSDAY, 18 AUGUST 2011 13:58 NEWSROOM NA MWANDISHI WETU UHURU MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, amemvaa Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akimtuhumu kuhusika na ugawaji wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni kwanini serilkali haitaki kujenga daraja kubwa ambalo litatoa usumbufu wa foleni?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakata Miwa wa Kiwanda cha ILOVO chenye Matawi Mawili (KILOMBERO-1 na KILOMBERO-2) Leo ni siku ya Nne wamegoma wakidai Nyongeza ya Mishahara yao, huku wakiwa na Maandamo yasiyo Rasmi wakiwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom