Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kampuni ya META imeshinda kesi iliyofunguliwa mwaka 2019 iliyokuwa ikiituhumu kampuni ya NSO Group ya Israel kutumia Programu yake ya 'Pegasus' kudukua mawasiliano ya Watumiaji wa Mtandao wa...
0 Reactions
2 Replies
457 Views
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa. Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa! Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio...
8 Reactions
70 Replies
1K Views
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kutoka kijiji cha Lumalu kata ya Upolo - Kilosa wilayani Nyasa kuanguka katika mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma...
10 Reactions
79 Replies
3K Views
Wanajamvi, ninaomba msaada wa dhati kabisa. Mdogo wangu wa pekee alifariki mwaka jana. Tulizaliwa wawili tu, wazazi pia walishafariki. Baada ya wazazi kufariki, nilikuwa mama yake, alikuwa baba...
39 Reactions
115 Replies
6K Views
Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo...
0 Reactions
7 Replies
675 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hofu, fadhaa, wasiwasi vimetawala kwani huyu mwenzetu ni mtu makini na hanaga masihara Kasema pia tujutahidi kutembelea vituo husika mapema Mnishauri Siku njema
1 Reactions
2 Replies
147 Views
Ni siku za mwisho wa mwaka huu wa 2024, kila mmoja wetu ana fanya tathimini yake binafsi, familia jamii na hata taifa kwa ujumla. Kila kunapo pambazuka hatukosi jipya la kujifunza, ikizingatiwa...
5 Reactions
10 Replies
402 Views
Leo Kuna mtu kanipigia simu nikakumbuka tukio Moja miaka kama 10 imepita Kipindi hicho ujana mwingi+ tulikua wajanja wajanja tumeshika shika vipesa si haba, npo dsm Kuna jamaa yangu ye hata tungi...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na...
15 Reactions
90 Replies
5K Views
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuanzisha operesheni mpya katika Hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza, baada ya kugundua kuwa wapiganaji wa Hamas wamerudi eneo hilo. IDF...
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi...
9 Reactions
44 Replies
1K Views
wakuu kama mnavyoona zimebaki siku mbili tu kuumaliza mwaka 2024 na kuanza mwaka mwingine 2025, watu wengi hua wanajiwekea malengo mbalimbali wakiamini mwaka mpya unavyoanza ni rahisi zaidi...
11 Reactions
73 Replies
2K Views
🌟 Wadau, tujadili! 🌟 Mwaka 2024 unakaribia kufika mwisho, na bila shaka kila mmoja wetu ana kumbukumbu ambazo zimeacha alama isiyofutika. Je, ni tukio gani kubwa, la kusisimua, au la kuumiza...
7 Reactions
77 Replies
2K Views
Shalom Wana WA Mungu alie hai Nianze khwatakia MWAKA mpya mwema WA mafanikio Nimeona tukumbushane hizi siku ZILIZOBAKIA n nyingi kuliko tulikotoka Nilikuwa naangalia kipindii cha AJALI mwezi huu...
3 Reactions
9 Replies
297 Views
Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna...
3 Reactions
18 Replies
596 Views
NJOO VIZURI Kuna bwana mmoja aliniijia akanikuta mahali napata moja ya baridi,wenyewe husema kuchamba koo.... Sasa yule bwana akanishambulia kwa maneno unakunywa pombe ni dhambi, Nikatulia...
3 Reactions
2 Replies
197 Views
Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii. Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
10 Reactions
75 Replies
13K Views
Back
Top Bottom