Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Benki ya Exim Tanzania imefanya tamasha linalojulikana kama ‘Exim Bima Festival 2024’ lenye lengo la kuchangia huduma za afya hususani kwa Wagonjwa wenye changamoto ya Afya ya Akili. Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Waswahili wanasema " Mungu sio athumani" Wamaasai wanasema " menya engai enanya oltung'ani" Wasukima wanasema "Osebha ademnthu" n.k Yote hayo ni kujaribu kutilia mkazo swala la kuthamini na...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la...
6 Reactions
58 Replies
8K Views
Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio...
10 Reactions
89 Replies
5K Views
1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo. 2. Kuna wakati unashtuka unahisi...
18 Reactions
129 Replies
10K Views
Kinachoendelea kwenye makatazo kwa abiria wanaopanda treni ya SGR ni kuonesha ushamba na ulimbukeni. Hili la kukataza mifuko yenye zipu maarufu kama shangazikaja na maji ya kunywa chupa moja! Na...
16 Reactions
156 Replies
5K Views
Katika kisiwa cha Luzon, huko Ufilipino, wanaishi kabila la kuhamahama la watu wa Aeta, watu wa kabila la kiasili ambao wametengwa, kwa hiari, kutoka kwa ulimwengu huu kwa maelfu ya miaka...
4 Reactions
4 Replies
351 Views
Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa Septemba 29 kila mwaka tangu ilipoanzishwa na Shirikisho la Moyo Duniani (WHF) kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 1999. - Siku hii hulenga...
3 Reactions
8 Replies
791 Views
Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo. Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa...
4 Reactions
2 Replies
261 Views
Habai wakuu mtoto gafla mda huu takriban masaa mawili na zaid analia bila kunyamanza..mama yake alikua katoka nyumbani kwenda kusalimia sehemu baada yakurudi jioni mtoto kaanza kuia bila...
3 Reactions
44 Replies
954 Views
Habari, Napenda kuwasilisha kero inayowakabili wastaafu wa serikali kwani wengi wao hawajalipwa kiinua mgongo chao toka mwezi wa 7 hadi leo, wakati hao watu wa mifuko ya mafao husema mafao...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Anonymous (f3d6)
Fikiria unatafuta ajira ili upate pesa, mwingine anakwambia utoe pesa ili upate ajira. Kwa wale wenzangu na mimi mtakuwa mnaelewa machungu ya kuambiwa hivyo ili hali mfukoni huna hata mia na...
5 Reactions
11 Replies
357 Views
Wanajamvi eh! Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je, nitakuwa bado nipo uchi? Hivi ni nini hasa uchi?
2 Reactions
38 Replies
3K Views
1.Ngome SACCOS - Bilioni 150.84 2. URA SACCOS – Bilioni 136.43 3. TRA SACCOS- Bilioni 88.64 4. TANESCO SACCOS- Bilioni 71.53 5. ELCT ND SACCOS- Bilioni30.35 6. TPS SACCOS- Bilioni 30.09 7...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Tutafteni pesa, kama tunavojua hapo nyuma PDidy alishtakiwa na Cassie kwa kumuingilia kimwili bila ridhaa yake na kumpiga (sexual abuse, physical abuse,) na kutokana na hiyo kesi Cassie alikuwa...
1 Reactions
9 Replies
565 Views
Taarifa za kuuawa kwa Katibu Mkuu wa Chama cha siasa Hezbollah cha Lebanoni, Sheikh Sayyed Hassan Nasrallah zimeitikisa dunia baada ya Jeshi la Israeli kutangaza kumuua na Hezbollah kuthibitisha...
5 Reactions
9 Replies
857 Views
Mungu ni roho, Mungu anaongea kiroho Haongei kama sisi wanadamu, ana namna zake ambazo ni muhimu uzifahamu KUNA NJII KUU 3 ZA MUNGU KUONGEA NA WEWE 1. KUPITIA NDOTO/MAONO 2. KUPITIA NENO...
1 Reactions
0 Replies
608 Views
Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, Hija Hamis Msumi (16) ambaye ni mkazi wa Kiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele...
0 Reactions
18 Replies
804 Views
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse. Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
52 Reactions
188 Replies
15K Views
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom