Habari za leo ndugu zangu,najua humu Kuna madaktari au sio daktari lakini unaweza kunielekeza wapi kwa kupata msaada.
Kama kichwa kinavyojieleza nimekuwa na tatizo la kuumwa ugonjwa wa ngozi mnoo...
Wakuu nawasalimu wote.
Bila kuwachosha niende kwenye mada iliyonifanya kuhitaji msaada wa mawazo yenu.
Ni kwamba nimegundulika nina cancer ya ini iliyosababishwa na hepatitis B na hapa nilipo...
Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao...
Habar wakuu msaada wenu nikipima presha mapigo ya moyo huwa Yako chini yanachini yanakua 57 au Hadi 48 na huwa naskia upande wa moyo kwa nyuma ya mgongo kunauma..msaada wenu tafdhali presha husoma...
Hofu ya kuongea mbele za watu, kukutana na watu wapya na matukio kama hayo ni ugonjwa unaotibika. Zijue dalili na utafute matibabu. USITESEKE:
- Kuogopa kukutana au kujichanganya na watu hasa...
Habari Wana jukwaa nimekamatwa kweli kuna kitu kimeniingia jana jichoni Sasa kwa jana ile nikapotezea nikajua ni kilala nikaamka kitakuwa kishatoka maana ni Kawaida.
Sasa hii hali sio ya kawaida...
How many issues May you observe...
Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende...
Habari wanaJF,
Msaada jamani, Mimi ni binti wa miaka 20. Mara nyingi sana chuchu huwa zinaniwasha. Je tatizo hili linasababishwa na nini?
Natanguliza shukrani
Habarini wanajamvi. Hosp. Gani nzuri kwa tohara za watoto kwa hapa dar. Ile ya kisasa ya kutumia vipira, sio ya kukata na kushona. If possible naomba na contacts/address. Aksante sana!
Doctors naombeni ushauri.
Nimechanganyikiwa nahitaji msaada wenu.
Kuna mwanamke mwaka jana nilirudiana muda mrefu baada ya kuachana nae, sasa alikuja kwangu tar 21 akiwa katika siku zake...
𝗛𝗼𝗿𝗺𝗼𝗻𝗲 𝘆𝗮 𝗧𝗘𝗦𝗧𝗢𝗦𝗧𝗘𝗥𝗢𝗡𝗘
Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume kwani ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo...
Watu wengi tumekua tukikimbia barabarani nyakati za asubuhi. Hizi hapa faida na masuala ya kuzingatia:
1. Unapata faida ya jua la asubuhi ambalo wengi tunalikosa tukiwa katika pilika za kawaida...
Kumekuwa na malalamiko mara kwa mara kuwa Baby Diapers kuwa zinaathiri ukuaji wa uume kwa watoto. Wengi wamefika mbali na kusema sababu ya vijana wa zamani kuwa na maumbile makubwa ya uume ni...
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda sasa
kila nikiwa mahari nimekaa au nimelala, ghafla nakuwa nahisi kama mdudu ananitembea sehemu fulani ya mwili! nikitizama naona ni kwenye mshipa wa damu, kitu...
Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua.
1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito...
Naombeni msaada Sina haja ya kuongea Sana Ila ukweli uliopo ni kwamba mzigo hausimami kabisa pamoja na yeye kunivulia nguo zote na jitihada zote alizonifanyia Bado mzigo umelala fofofo.
Sina...
Wanajamii mwenzenu nina tatizo nahitaji msaada either wa kiasili au kitabibu.
Nikitaka kufanya tu mapenzi baada ya uume kusimama nashindwa kuendelea baada au kabla sijaingiza uume sehemu husika...
Mazoezi ya mwili ni muhimu kwa afya ya mwili wenyewe, kwa afya ya akili na afya ya nafsi. Mazoezi ya mwili ni muhimu kama ilivyo muhimu kula chakula kwa bindamu, hasa katika zama hizi.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.