Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi na vipele nk. 2. Kuwa na uzito wa kupindukia 3. Kutopata choo au kupata choo kigumu 4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza 5. Kichwa kuuma kila...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Wana Jf msaada wenu tafadhali.Kuna jirani yangu anasumbuliwa na vipele vinavyoota nyuma ya kiwiko cha mkono. na wakati mwingine anasema vinaota kwenye magoti. na vinamaumivu sana. ni kama vijipu...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Ndugu zangu naombeni msaada nina dada yangu ni mgonjwa. Anasikia maumivu kwenye mguu na baada ya kupata maumivu anasikia ganzi kwenye mguu baada ya kupata ganzi hata ukimpiga kitu gani kwenye...
2 Reactions
4 Replies
888 Views
Wakuu samahani wapi naweza kupima COVID 19?
0 Reactions
2 Replies
589 Views
Je, ni kawaida kuendelea kupata maumivu ya tumbo baada ya kuweka kitanzi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua Toka kwenu mtu ukiambiwa unatatizo la mucus ni shida inayohusiana na nin
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hili tatizo linazidi kukua, ilianza kama. Mstari hivi pembeni linakula kucha ya mtoto.
0 Reactions
5 Replies
514 Views
Wabantu wengi hatuna jadi ya kula matunda kufanya mazoezi kumeza dawa za minyoo kupima afya mara tuuguapo hadi tushauriwe na daktari ndio mtu anaanza kutafuta au kufanya mazoezi. Mfano dawa za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakuna ushahidi wa kisayansi unaosema kula nyama ya mbuzi inasababisha matatizo ya viungo. Nyama ya mbuzi, kama aina nyingine za nyama ya mwili, ni chanzo kizuri cha protini, vitamini, na madini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
SABABU 15 ZINANIFANYA NITUMIE SIKI YA TUFAHA KILA SIKU Apple cider vinegar is my new obsession. I recently began taking apple cider vinegar shots 2-3 times a day for a quick and effective energy...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
10 daily nutrients vitamins
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mzio au aleji (allergy) ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote (ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili) inapotokea kimeingia ndani ya mwili au...
1 Reactions
230 Replies
121K Views
Wakuu nini surulisho la kuondoa uvimbe huu unaotokea baada ya kutoboa sikio
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hello , wataalamu wa afya pamoja na pharmacist , naombeni dawa ya kuondoa hili tatizo la mdomo kuwa mchungu , Asante sana.
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimekuwa na tatizo la reflux kwa muda mrefu na nimetibiwa hospital nyingi bila mafanikio, hivi karibu imekuwa worse kwa kuwa napata sore throat(choking type) na persistence...
3 Reactions
33 Replies
20K Views
Habari za wakati huu, Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya. Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini...
8 Reactions
167 Replies
7K Views
Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves...
1 Reactions
16 Replies
609 Views
Wakuu. Huko Instagram kumezagaa kurasa zinazotangaza kuuzwa kwa miwani ya matumizi mbalimbali lakini hasa kuna ile inayobainishwa kuwa inadhibiti miali itokanayo na vioo vya computer. Je...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Karibu tukuhudumie
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Wakuu habari za jioni. Naomba munisaidie kujuwa duka wanapouza vifaa vya radiology vifuatavyo: 1. Utrasound gel 2. Barium salfate 3. Contrast medium (pamidol injection) Natanguliza shukrani za that
1 Reactions
2 Replies
285 Views
Back
Top Bottom