Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habarini wanajamvi Nina mtoto wangu ana umri wa 6 month, ila baada ya mwezi mmoja mtoto alianza kua kama na mafua na kupata shida ya kupumua (anakua kama anakoroma akiwa anapumua) hasa wakativwa...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata. Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nafikiri sasa wadau kushirikiana na serikali upo umuhimu zaidi kutoa elimu ya afya kuhusiana na homa ya ini. Maana ili jambo kiukweli kwa sasa imekua ni hatari kubwa kwa afya za watu na takwimu...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Habari wanajamvi, Ndugu yangu wa kike Ana Tabia ya kula mchele sana mpaka imekuwa kama ni lazima kula ili apate utulivu wa nafsi. Ilianza miaka mingi karibia ishirini sasa kipindi dada yake...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wakulungwa...Kwa Nia njema tu, naombeni jinsi ya kukabililana na stress za mama kijacho maana naona Sasa kama kamtu kana maksudi. Uzalendo unakuwa mgumu ndio kwanza mwezi wa tatu[emoji119]
1 Reactions
18 Replies
614 Views
Nawasilisha, bahati mbaya hana simu kubwa tungeweza kupata picha yake mwenyewe ila kwa maelezo aliyonipa moja kwa moja nika-google nikajua basi atakua na shida kama hii tu. Anaomba msaada wa...
0 Reactions
9 Replies
527 Views
Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka. Naomba mwenye ufahamu wa tiba atoe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kukosa furaha kabisa kwa muda mrefu sana bila sababu yoyote ya msingi huwa ni kiashiria cha tatizo sugu ambalo unakuwa upo nalo kwa muda mrefu sana bila kulipatia ufumbuzi. Kuna tatizo la...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu. Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa. Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari! Kama mada inavyo jieleza hapo juu. Nitakilibani wiki ya nne sasa tangu nipatwe na maradhi haya. Ambapo nimekuwa nikipata muwasho eneo la uume, ukiambatana na ngozi kukakamaa pamoja na...
8 Reactions
151 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda...
6 Reactions
108 Replies
9K Views
Wapendwa habari za asubuhi. Naomba nisaidie nitakuwa na shida gani jamn nina shida ya sikio langu la kulia kupiga kelel yani sio zile kelel za ziiiiii no hii nakuwa nasikia kama vile labda mishipa...
2 Reactions
12 Replies
968 Views
Salam wote Wana JF, Niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Nimegundua siku hizi uume wangu hausimami kabisa ninavyolala ukiwa umelala ndiyo ninavyoamka ukiwa umelala. Nashindwa kuelewa tatizo ni...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu last week nilikuwa na dalili za vidonda vya tumbo so kuna mzee mmoja mtaalam wa madawa ya mitishamba akanishauri kuwa nitumie bamia kwa wingi kwani huwa zinaleta utelezi tumboni...
9 Reactions
106 Replies
78K Views
Habari wakuu, Naomba kueleimishwa naona kila mwanaume anasema alipata gono Toka kwa mdada flani baada ya kufanya nae mapenz. Naomba kueleimishwa nin Chanzo Cha gono kwa mwanamke yaan inakuaje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Utangulizi Mada hii ina lengo la kuzungumzia tatizo la kuwa na hofu au wasiwasi uliopita kiasi au kwa kitaalamu Generalized anxiety disorder (GAD). Kwa ajili ya kutofautisha kati ya hofu...
1 Reactions
25 Replies
16K Views
Habari yako wewe unayesoma uzi huu. Nina umri wa miaka 27 pia nimejaaliwa kupata mtoto mmoja tu wa kike na kwa sasa ana miaka 4 ila sijabahatika kupata mtoto mwingine nimejitahidi sana kufanya...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wakuu nahitaji msaada wenu, Mtoto wangu wa miaka 2 na miezi kaangukiwa na fimbo ya pazia toka juu ya jirisha. Fimbo imemuangukia kichwa katikati imemchana, msaada we wenu wa huduma ya...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu Ninaandika hapa nikiwa sina amani kabisa. Mwanangu wa kike miaka 7 anaumwa ugonjwa unaotutisha. Usiku akiwa amelala kuna muda anakoroma sana tena kwa muda mrefu. Yaani...
4 Reactions
18 Replies
679 Views
Back
Top Bottom