Habarini wana Jamvi,
Kuna binti kaweka kijiti miezi mitatu iliyopita. Cha ajabu ni kwamba hajaingia period kwa muda wote huo na ameshindwa kupata ufumbuzi wa hili. Nimelileta kwenu wataalam...
Moja wapo ya faida ambayo ni muhimu ni kusaidia kumeng’enya sukari mwili au kuweka sawa mfumo wa sukari mwilini.
Bamia ni aina ya tunda mboga lenye utajiri wa makapimlo ambayo ni muhimu sana...
Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na Virusi aina ya (Varicella zoster) vinavyoambukizwa kwa kuvuta pumzi, pamoja na matone ya upumuaji.
Kirusi hiki kinasababisha magonjwa mawili ikiwemo...
Jaman wanajamvi naomben mnifahamishe dawa nzuri ya tumbo kwa mwanangu, kuna mtu kanishauri nimpe gribwater na kuna mwingine kanishauri nimpe maji tu ya vuguvugu kweny kijiko cha chai.
Tafadhal...
Mwaka 2006 hivi nilikanyaga mwiba damu zikanitoka, baada ya hapo palikauka vizuri tu ila palitengeneza kovu ambalo likazaa kishimo.
Yaani baada ya muda Kuna vijiuchafu mithili ya tunyama mfanano...
Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo...
Maombi yenu please nipate ahueni...
Mie Jidduz, mutu ya watu yamenikuta.
Toka majuzi nimepata mafua ya kutisha. Pua zinawasha na kamasi inatoka utafikiri bomba linavuja.
Macho yanauma, ni mekundu na mchozi ni muda wote. Juzi na...
Sijui kama nina tatizo la moyo au vipi?
Nina pata maumivu makali katikati ya kifua au kwenye kifua upande wa kushota pale ninapo lalia kifua au kulalia mgongo kwa masaa mengi zaidi.
Au...
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia.
Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali...
Wana Jf Kuna tukio ambao lina ni athiri nashindwa kulisahau yeyote anaeweza nifanyia cancelling nitashukuru mno tukio la ajari lilolopelekea kifo cha mtu muhimu kwangu
Wazima vijana wenzangu kwa wazee? Kutokana naukweli kwamba wanga si mzuri natujitaidi kuupiga vita... binafsi nimeona kabisa naelekea pabaya,mpaka nishibe basi ni unga robo tatu wa dona na kilo...
Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo).
Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na...
Unjiti ni hali ya Mtoto kuzaliwa kabla ya Wiki ya 37 ya Ujauzito kutokana na Sababu Mbalimbali ikiwemo Mjamzito kupata Uchungu wa Mapema.
Watoto hawa huzaliwa na Changamoto nyingi zinazohitaji...
Hello guys hopefully your fine,,, Naombeni mnisaidie nasumbuliwa na Tatizo la kifuaa kuuma hasa kati kati ( Sternum) maumivu nayapata wakati nikifanya any Chest movement au wakati wa kujigeuza...
Hiki kitu nimekikumbuka leo, kwa wahenga, Nakumbuka zamani miaka ya 1990 kurudi nyuma na kuendelea kulikuwa na hii Hospitali ya dini ya kanisa katoliki pale Iringa mjini, kitongoji cha kihesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.