Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu poleni majukumu. Wakuu naombeni msaada kwenye jambo hili kwa wataalumu wa magonjwa hususani kwa watoto. Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba? Kama tiba ipo je mtoto wa mwaka...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa ambao unanichanganya sana na nimedumu nao kwa miaka 12 sasa. Mwili kuwaka moto na maumivu kwenye kifua. Mara nyingi huanza maumivu makali kwenye kifua, si kubana...
0 Reactions
36 Replies
22K Views
Nina matatizo ya kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto na kichwa kushika ganzi kwa ndani kama kinachoma choma kimekamatana nakion kidogo ila kifua tangu mwezi wa saba kinawaka moto nimetumia...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nitakuwa na tatizo gan kifua kuwaka moto na mgongo hasa wakati wa usiku. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
20K Views
Wanabodi, heshima mbele.. Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Awali ya yote, nawasalimu. Nimeleta hii maada kwenu ni baada ya maumivu makali moyo wangu umeyabeba,na thamani ya maisha siioni tena na sioni haja ya kupalangana na maisha kabisa. Nimeoa miaka 2...
36 Reactions
223 Replies
31K Views
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga yaani ni kama nimevimbewa na beuwa harufu, chakushangaza hamu ya kula Sina Ila nikitia Chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda chooni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Fahamu vyakula muhimu unavyopaswa kuwa navyo karibu kila wakati Kwa karne nyingi, hali ya lishe isiyofaa imedhoofisha afya za watu wengi na kuwasababishia magonjwa. Awali kulikuwa na tatizo la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wakuu naomba msaada wadaktar bingwa Endocrinologist mzuri kwa dar au sehemu yoyote nateseka na thyroid kwa miezi 7 sasa
0 Reactions
2 Replies
306 Views
Respberry ni aina ya matunda yenye umbo dogo na yenye kufanana na strawberry [emoji526].Mara Hujuotea yenyewe porini au vichanakani Lakini pia mmea huu unaweza kuoteshwa nyumbani kwako. Ni...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa...
1 Reactions
6 Replies
720 Views
Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, mwanaume ambae ameshakuwa shoga, yaani yeye alikuwa anaingiliwa tu. Huwa kuna tiba ya kumtoa huko? Nilisikia kama mwanaume kaingiliwa, halafu kamwagiwa ndani, zile manii zinatakiwa...
4 Reactions
62 Replies
8K Views
ntakuwa likizo mwezi ujao wa sita , naomba msaada ni wapi ntapata tiba ya tatizo langu la pua kutonusa harufu, ipo hivi nilizaliwa mzima wa afya na pua zangu zilikuw zinafanya kazi sawa sawa...
2 Reactions
3 Replies
693 Views
Umuhimu wa maji katika mwili wa binadamu ni mkubwa sana tofaut na binadamu tunavyochukulia,watu wengi wanakunywa maji kwa mazoea,inashangaza watu hawajui maji ndio kinywaji cha kwanza kuubwa na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na kuvuruga. Yaani ni kama nimevimbiwa, nabeuwa harufu, cha kushangaza hamu ya kula sina, ila nikitia chakula kidogo tumbo linajaa gesi na nikienda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wapendwa, Je, ni kweli fresh juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Ninaomba msaada, hapa kwenye koo panauma kama nimekula kitu kimegoma kutoka, leo siku ya 3. Nimehenda hospitali wamesena hakuna kitu, nimepewa dawa zinaitwa ZECUF. Pamoja na kutumia bado ninaumia tu.
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Back
Top Bottom