Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Kwa yeyote anayejua tiba mbadala ya typhoid please naomba msaada.Nikisema mbadala namaanisha matunda,mizizi,mimea ama vyakula. Bwana Yesu asifiwe. =============== Homa ya matumbo Homa ya...
1 Reactions
156 Replies
112K Views
Kazi iendelee! Hodi JamiiHealth. Mimi ni mweupe kimuonekano, shida yangu ni unjano wa nywele zangu hali inayonikosesha raha na kujikuta naona aibu mno. Naonekana kama age go fulani kwa sababu...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kusikilizwa kwa sauti za kifua (Chest auscultation) hutumika kubainisha sauti za pumzi na milio ya sauti ya upumuaji. Sauti za kawaida za kupumua huitwa 'vesicular', hufafanuliwa kuwa tulivu kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalamu, watabibu. Naomba kujuzwa haki ya mgonjwa na wajibu wa mtoa huduma. Hili jambo limetokea mara kadhaa ktk dispensary moja hivi na inaonekana ndio utaratibu wao, naomba mamlaka wenye kujua...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wananzengo humu ndani? Kuna jamaa yangu hapa kitaa kakutana kitu inaitwa gono few weeks ago. Karuka ruka leo imembana balaaa hadi anasema akipona harudii tena kula matunda ya kati kati...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Msaada wa tiba ya mba kichwaani au sabuni inayoweza kuwapunguza?? Natanguliza shukrani Update 20.05.2023 Nashukuru kwa michango yenu kupitia mawazo yenu niliamua kununua mafuta ya mnyonyo castor...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani. Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu...
2 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sasa nifanye nini wakuu sielewi sehemu ya kuanza nahitaji muongozo
1 Reactions
4 Replies
562 Views
Kufitika au kupungua kwa mlango wa uzazi (Cervical effacement) huwenda sambamba na kupanuka au kufunguka kwa njia ya uzazi (Cervical dilation): Kupanuka kwa mlango wa uzazi ni wakati njia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo, Mungu ametujalia mimi na mke wangu tumepata mtoto. Ila ana siku mbili halali kabisa usiku. Analia tu na ana harisha kamba kamba kama makamasi. Hospital...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kazi iendelee.! Hivi madaktari na wadau wa afya, hili limekaaje? Kwa nini watu wengi HASA kwa Dar kipindi hiki wanalalamika maumivu ya kichwa, uchovu wa viungo na mwili, joto la mwili kupanda na...
0 Reactions
10 Replies
741 Views
Habari zenu wana Jamii Forum. Poleni kwa changamoto na mchaka mchaka wa utafutaji pesa na kadhalika. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi mwenzenu katika hili jukwaa la Urembo, mitindo na...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo. Kwani homa hii inaambukizwajwe? Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi? Nawezaje kutambua ninazo...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu zangu habarini za miamko?naomba niende kwenye hoja,mke wa jamaa yangu alikua mjamzito na wakati ameenda clinic alipimwa damu kama ilivyo utaratibu, baadae akagundulika ana Rh- wakati huo...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Habar wakuu majibu yavipimo diffused multnodular goita maana yake nin
0 Reactions
4 Replies
732 Views
Nasalimia kwa jina la Muumba aletaye uzima na kifo. Mhusika: miaka 17. Kazi: mwanafunzi. Jinsia: ke. Tatizo: mcho hawezi kuangalia mwanga. Hali yake: critical, hawez kusoma. Ombi: wapi napata...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Wakuu nauliza hivi kitunguu swaumu kinaweza kuchemshwa na maji nakunywewa kama chai?
2 Reactions
3 Replies
505 Views
Wakuu salamu Hivi kuna dawa gani ambayo inaweza saidia kupunguza au kuondoa kabisa kichefuchefu kwa mama mjamzito. Maana kichefuchefu kimezidi sana na kutapika ndio usiseme,ukila tu chakula...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Chakula bora ni Dawa. Ila Dawa sio chakula Bora. Tumia chakula kama dawa. Usije jikuta unatumia dawa kama chakula.
0 Reactions
6 Replies
621 Views
Ni hivi,mimi kijana wa kiume 30+ tatizo langu kubwa nikupenda ngono hadi najichukia maana naweza lala na wanawake zaidi ya watano kwa siku na bado nakuwa na uhitaji wa kungonoko tu,hii imepelekea...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Back
Top Bottom