Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wapendwa habarini za wakati huu? Leo napenda tuzungumzie hili suala jinsi ya kureverse haya magonjwa niliyoyataja. Mimi ni bingwa wa mitishamba na nimepona pia HIV/AIDs kwa kuireverse na hatimaye...
15 Reactions
103 Replies
10K Views
Je, kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu? Anisaidie ushauri Wana jamiiforum natumai muu wazima wa afya na kwa wale ambao imelega kidogo tuendelee kumuomba mungu atusaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nna dada yangu anaugua Yuko hospital siku tatu Leo...Kila akiongezewa damu inaisha tatizo litakua nin..nb nikituo Cha afya
2 Reactions
12 Replies
891 Views
Amani iwe kwenu ndugu wanajamvi! Namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuiona tena siku nyingine miongoni mwa masiku yake tukiwa ni wazima wa afya na wale wa matatizo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ini ni Kiungo Muhimu Sana kwenye mwili wa binadamu ambacho hufanya kazi zaidi ya 500. Kutokana na sababu mbalimbali Kama matumizi ya dawa yasiyo zingatia ushauri wa wataalam, unywaji mkubwa wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama...
2 Reactions
7 Replies
867 Views
Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Napenda wataalamu na watu wenye uzoefu mniambie ni vipi mtu anaweza kumhandle mtu mwenye sickle cell. Huyu rafiki yangu ameambiwa baada ya kuwa tayari kazama kwenye bwawa la mahaba anampenda sana...
2 Reactions
137 Replies
20K Views
Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu. Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa...
1 Reactions
13 Replies
838 Views
Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba...
6 Reactions
101 Replies
8K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) leo Mei 11, 2023 limetangaza rasmi kuwa Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Mpox) sio tena janga la Dharura ya Kimataifa. Taarifa hii inakuja siku moja baada ya kamati ya...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
KUATHIRIKA kiafya kwa baadhi ya watoto wadogo, mama anapopata ujauzito maarufu kama kubemenda, hakutokani na maziwa ya mama kuharibika anapopata ujauzito, bali huduma duni anazopata mtoto,”...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vyuma ambavyo vinawekwa mwilini mtu akivunjika ni mali ya nani? Kwanini huwa vinafuatiliwa?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari JF Doctors na washauri mbalimbali, Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika, Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu. Natumai mtanipatia...
2 Reactions
30 Replies
21K Views
Habari wana JF, Jamani hivi ni hospitali gani nzuri kwa clinic ya wamama wajawazito na nzuri kwa kujifungulia na pia hospitali gani ina specialist wazuri kwa kina mama kwa mkoa wa Dar es salaam...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wakuu nimiez7 sasa tangu nigundulike na tatizo la thyroids ambayo ilikua hyper ilikua nauvimbe umeanza upande wakulia multnoduler goiter nkatumia dawa carbimazole. Mpaka kufikia...
2 Reactions
8 Replies
602 Views
Habari zenu wana JF nina shida ya kudhibiti tabia yangu. Kuna muda inakua ngumu sana kufanya kazi ambazo zinahitaji umakini wa muda mrefu, kama vile kusoma kitabu au kufanya kazi ya ofisi. Pia...
1 Reactions
5 Replies
330 Views
Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Kwa uwiano mzuri, Watoto wanapaswa kuzidiana miaka mingapi kiumri?
5 Reactions
109 Replies
6K Views
Back
Top Bottom