Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema Kiwango cha kupandikiza uloto kwa mgonjwa mmoja ni pesa ya kitanzania milioni 50 kwa mgonjwa hapa hospitali ya Benjamin mkapa jijini Dodoma.
Wagonjwa wa seli...
Wadau hahabrini zaasubuhi,kuna jambo kidogo ningependa kuwashirikisha ili nione mnanisaidiaje,,
Nimeamka asubuhi muda huu kama ilivyoada kwauume kusimama kiafya,kwangu nimeona utofauti kwani uume...
Kuna umuhimu mkubwa wa kuwa na huduma bora kwa ajili ya wanawake walio katika hedhi katika vituo vya afya. Kwanza kabisa, hedhi ni sehemu ya kawaida ya mwili wa mwanamke na hivyo ni muhimu...
Kiungulia (Heartburn) husababishwa na Acid reflux au kupanda kwa tindikali kutoka tumboni kuja kwenye umio la chakula. Hali hii hupelekea maumivu maeneo ya kifuani na kero kubwa.
Kwa upande wangu...
Wakuu za mchana? Niombe kuuliza wapi naweza kupata vidonge vya Giseng kwa hapa Dar. Sina maelezo ya kutosha ya hii bidhaa, ila kwa kifupi nimeona katika vyanzo mbalimbali kuwa inaboresha mifumo...
Wakuu za asubuhi,
Hivi wet dreams - ndoto nyevu (ile kujipiga kibao ukiwa usingizini) hii huwa inaashiria uimara wa anayetokewa na hii au hata isipokuwa inamtokea mtu ni sawa tu?
Na je, hii huwa...
Mtoto mwenye homa ya mapafu (pneumonia) ambayo haijatibiwa inaweza kusababisha jipu kwenye mapafu (Abscess formation), utiririshaji wa usaha au maji kwenye mapafu (empyema), kuanguka kwa mapafu...
Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya buibui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza.
Habari zenu wana jf....,!! Napenda kwenda moja kwa moja kwenye mada. Mi nina mdogo wangu mtoto wa shangazi sasa miaka 33. Kamaliza chuo mda tu. Na pia ana ugonjwa wa kifafa unamsumbua tangu...
Mucus huzalishwa kwenye mapafu kama sehemu ya kuulinda mwili. Uchafu unaoungia mwilini kwa njia ya hewa huzuiwa na mucus na hutolewa nje kwa kikohozi au mafua.
Mucus hii ilibidi mwilini hukera...
Habari!! Naomba kuuliza, mimi nilifanya tendo la ndoa na mpenzi wangu baada wiki nikaingia period lakini ilikuwa ni tofauti na nyingine damu zilikua.
kidogo na kama nyeupe kwa mbali lakini...
Utumiaji wa vyakula vyenye mafuta, pia kuzidisha virutubisho
Kwenye ulaji humsababisha MTU awe na kitambi. Kutokana na kuongezeka kwa cholesterol mwilini
Hasara take ni kwamba MTU unaweza kupata...
Kama unaumwa halafu unaota ndoto hizi na unakwenda hospitali na huponi maradhi yako .basi hospital usiache lakini kimbilia tiba za upande mwingine. Yaani za kidini ama kiasili.
1. Kuota umepotea...
Jana asubuhi nimeamka na kukuta najisikia muwasho sehemu ya shingo. Nikajua ni kawaida ya matatizo madogomadogo ya mwili. Leo nimeangalia nimekuta kama michirizi shingoni inawasha kwa sababu ngozi...
Kiribatumbo ni ongezeko la kiwango cha mafuta mwilini kilichozidi salama na kusababisha athari katika afya ya mwanadamu.
Mtu mwenye kiribatumbo ni yule ambae BMI ni zaidi ya 30.
BMI -Body Mass...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.