Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Elimika! 1. Vaginal discharge is normal. 2. It is not necessary to wear underwear 24/7. 3. Vaginas are acidic enough, even like chlorine, hence the discoloration of underwear. . 4. Longer inner...
8 Reactions
47 Replies
7K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa ugonjwa wa UVIKO-19 sio tena "dharura ya afya duniani". Taarifa hiyo inawakilisha hatua kubwa kuelekea kumaliza janga hili na inakuja miaka mitatu...
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari wana JF Afya! Jana katika soko fulani nikakutana na jamaa anauza powerbank, mchanganyiko wa nazi, karanga, na muhogo kwa ajili ya mambo yetu yale. hizi ukila zinakua ni za muda mrefu au...
2 Reactions
10 Replies
989 Views
Wapendwa habali za wakati huu! Siku za hivi karibuni nimeanza kuhisi maumivu ya kifua, maumivu haya yanatokea pale ninapoegemea KIWIKO. nikifanya hivyo hata kwa dak 3 tu nikiinuka nahisi maumivu...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limemfuta kazi afisa wake na Mwanasayansi aliyeongoza uchunguzi wa chanzo cha Mlipuko wa Ugonjwa wa COVID-19 nchini China baada ya kukumbwa na kashfa ya kujihusisha...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Nianze na kuwasalimu wakuu, pia niende moja kwa moja kuwasilisha jambo, wakuu vidonda vya tumbo vinanisumbua mno aliyepona ametumia dawa gani ,,, msaada wenu wakubwa
0 Reactions
8 Replies
799 Views
Jarida la KitabIbu la BMJ Supportive and Paliative Care limechapisha ripoti ya utafiti wake Mei 2, 2023 inayoeleza kuwa matumizi ya bangi yanaweza kuwa njia salama ya kupunguza adha ya maumivu...
2 Reactions
1 Replies
451 Views
Daktari wa mifugo wa manispaa ya Songea Dr. Serina Masole amethibitisha kuwepo kwa homa ya Nguruwe katika manispaa hiyo ambapo amepiga marufuku usafirishaji wa Nguruwe au nyama ya Nguruwe kutoka...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 29 huwa nasumbuliwa na tatizo la ngozi imefubaa imekujamana sana. Niliwahi sikia punyeto ndio inafanya iwe hivyo sijui labda hilo ndio tatizo maana sasa hivi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari! Je, Ute Anaotoa Mwanaume Kabla ya kumwaga Shahawa Unaweza Kusababisha Mimba Pale tu Utakapogusana na Uke wa Mwanamke?
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakuu wiki iliyopita sikio langu liliingia maji nilijaribu kutoa kwa njia ya kuinamisha lakini maji yalitoka pamoja na uchafu sasa kuanzia juzi sikio langu limekosa kusikia yaani moja linasikia...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Utangulizi Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa ambao huathiri sehemu ya kupitisha hewa kwenda kwenye mapafu ya binadamu zinazojulikana kitaalamu kama bronchioles. Mtu mwenye pumu huwa na mcharuko...
6 Reactions
504 Replies
239K Views
Lupus ni ugonjwa unaotokana na hitilafu kwenye mfumo wa kinga ya mwili unaosababisha mwili kupigana /kushambulia na tishu na viungo vyake wenyewe. Ugonjwa huu unaweza kusababisha madhara kwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake. Faida za...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani hali zenu, Alfajiri hii nikiwa kwenye maandalizi ya tendo ilitokea hitilafu kidogo ya ulengaji wa tundu. Mimi ni mnene sana ivo uzito wangu wote ukabebwa na uume. Ilikua hvi, nilikosea...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
'Pseudocyesis' ni muonekano wa dalili zote za ujauzito anazopata mwanamke wakati kiuhalisia hana ujauzito. Mwanamke anaweza kuwa na dalili zote za ujauzito kama kutapika mara kwa mara, shida ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Jf doctor naomba ushauri, mimi na mke wangu tumepata mtoto ambaye kwa sasa umri wake ni miezi 2. Mtoto huyu ana tatizo ambalo imekuwa ngumu kwetu kuelewa, ni kwamba akiwa ananyonya anatoa sauti...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello,JFmembers, welcome doctors,gynecologists and experienced people, I had c sections few months ago and I am pregnant again, I am scared. Should I keep the pregnant? Is it safe?
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Jamani nina fangasi kwenye pumbu (korodani) zinanisumbua sana (zinawasha), msaada tafadhali maana nimetumia dawa za kupaka lakin wapi. Mwenye kujua tiba asili naomba anisaidie.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom