Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
African Man Dem has 17 young people, all drug addicts, who receive free social services. They are provided with food, clothing, medical care, and given payments. There are chicken farming...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Jamani mimi mwenzenu naomba kuuliza. Mara nyingi nimekuwa naota ndoto ambapo katika ndoto hizo ni kwamba huwa ninakuwa na uwezo wa kuruka na kupaa hewani nikielea. Tatizo ndoto hizi huwa naziota...
1 Reactions
239 Replies
149K Views
Habari wana jamvi; Mimi ni kijana wa miaka 23,kwa miaka isio pungua 7 (saba) nimekuwa nikipitia kipindi kigumu kabisa kiafya hasa kwenye mfumo wangu wa mkojo(urinary system) 1.Nimekuwa nikipata...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
NJIA KUMI ZA KUZUIA MAGOJWA YASIYO AMBUKIZWA Magonjwa yasiyambukizwa ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa.Mfano ni magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari,kuoza meno,magonjwa sugu...
2 Reactions
1 Replies
916 Views
Habari wakuu Nikama miezi miwili hivi nawashwa sana nikimaliza kuoga. Naweza kaa nusu saa nzima najikuna hii inaweza kuwa inasababishwa na nini? Natiba yake ni nini?
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Tulikuwa na family day na haya ndio niliyoambulia nikaona they are good news worth sharing. ====================== Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko...
10 Reactions
1K Replies
623K Views
HATUA ZA KUACHA KUVUTA SIGARA Madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji sigara ni makubwa na yanahatarisha si tu uhai wa mvutaji bali hata na watu wengine wanaovuta moshi kutoka kwa mvutaji. Kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF! Naombeni kujua kwanini Kuna mtu aking'atwa na mbu anawashwa na mwingine hawashwi..??
2 Reactions
7 Replies
916 Views
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu, Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kujua hili. Je, kuwa na ‘v*uzi’ jeupe (unywele mmoja pekee) sehemu za Siri kuna maana gani? Au ni kawaida tuu? Yaani msitu wote uwe unaota mwezi isipokuwa mti...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari wanajanvi,kuna hali naiona kama sio ya kawaida kwangu,kwenye mikono napata vipele kama vile vya baridi alafu vinakua kama vinatoa vidude vyeupe,nimeenda hospital kupima magonjwa yote majibu...
0 Reactions
11 Replies
526 Views
WanaJF naomba msaada, Mimi nina girlfriend wangu huwa hakojoi kabisa pindi tuna gegedana, kwanza tunaweza tukawa na romance ya muda kidogo lakini hafiki kabisa. Juzi tulikuwa na romance ya kama...
0 Reactions
90 Replies
27K Views
Meno yamekuwa tatizo kwangu kwa muda sasa, wapi naweza pata hospitali nzuri inayopokea wagonjwa wa meno wenye bima?!
2 Reactions
11 Replies
890 Views
Heshima zenu doctors mliopo JF, Naomba mnisaidie kusoma hii picha ya X-ray kisha mniambie huyu mgonjwa ana shida gani. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
16 Replies
846 Views
Habari wadau Mwanangu kapata na huu ugonjwa anajikuna sn, vimetapakaa mwili mzima kasoro usoni, anayejua dawa ya huu ugonjwa anisaidie. Asante
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Wana jamvi naombeni msaada wenu, Nina tatizo la uvimbe kwenye Mfereji wa haja kubwa ( Mlangoni kabisa). Nimevumilia maumivu yamezidi kuwa makali; wakati wa kukaa, kutembea na mbaya zaidi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wana Jamii Forums salaam, Ninaomba msaada wa matibabu au ushauri nini afanye, ndugu yangu huyu na mtu wa karibu, maana najua humu kuna madaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama. Rafiki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naleta mrejesho kwenu nadhani wiki mbili zilizopita niliwahadithia kisa changu cha kupasuka kondom wakati nikifanya mapenz na demu ambaye siijui background yake NA wasiwasi wangu ulinijia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wa kuu, Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri...
2 Reactions
84 Replies
23K Views
Back
Top Bottom