Habari zenu
Mtoto chini ya mwaka mmoja anasumbuliwa na vipele kwenye paji la uso na maeneo ya kichwani tu ambapo tumemsaidia dawa tofauti za kupaka ikiwepo candidas mara kadhaa haikuweza...
Siku chache baada ya kujifungua mwili wako utaanza kutoa maziwa ya awali(colostrum). Kwa baaadhi ya wanawake maziwa haya huwa mazito na kuwa na rangi ya njano, Kwa wengine ni mepesi na huwa ya...
Mwishoni mwa siku ndefu, unagundua kuwa unaanza kuhisi maumivu ya kichwa. Unachokifanya ni kunununua dawa za kutuliza maumivu kutoka kwa muuzaji wa mtaani, na unakunywa mbili. Lakini unajuaje...
Tokea nikiwa mdogo nilikuwa sio mpenzi wa kula na kunywa vitu hivi na mpaka nimekuwa nimekuwa na allergies navyo havinidhuru Ila sipendi kula
*Maziwa ya ng'ombe
*Mayai
*Nyama ya...
The female private part varies from woman to woman. Whether or not yours is similar to someone else's does not mean it is abnormal. Here are 7 Types of Vaginas and Why Yours is Totally Normal...
Habari zenu ndugu zangu. Mtoto wangu ana changamoto ya vipele hivi. Alipelekwa hospital wakatupa dawa ya kupaka lakini haijatoa matokeo mazuri.
Msaada wenu napokea ushauri
Mimi kijana na miaka 29 wakiume wana jamii naomba msaada wenu nimetoka kipere si kipere na pia kama nyama zimetuna na panawasha kinoma kwenye mstari wa haja kubwa.
Sasa naogopa kuchezea uko maana...
Habari ndugu zangu,
Nina rafiki yangu wa kiume, tokea mke wake amesafiri nje kidogo kwenda kumuuguza mama yake mzazi ni mwezi sasa anasema kila akiamka asubuhi anajikuta uume haujasimama na pia...
Habari wanajanvi, napenda kutumia fursa hii kuwasalimu, Moja kwa Moja niende kwenye Mada nimefungua uzi huu ili tupeane uzoefu wale ambao tunapbana na tatizo hili.
Mimi ni muhanga wa tatizo hili...
Hanari wana JF
Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote.
Nimetembelea...
Wakuu za sahizi,
Nadhani mnakumbuka lile tukio lililofanyika 2021, la mchezaji cr7 alivyokuwa akihojiwa na akasogeza chupa 2 za coca akasema tutumie maji
Basi asee juzi kati hapa nimepitia...
Wandugu habari zenu
Madokta na washauri wa uku naombeni msaada wenu. Nina ndugu yangu wa kiume age imeenda kidogo, mpaka leo ana uhitaji wa kuitwa baba lakini imeshindikana. Wanawake anaishi nao...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Kipindupindu muda mfupi baada ya Jamii Forums kuripoti uwepo taarifa za Ugonjwa huo katika Wilaya ya Ilala. Kwa mujibu wa Wizara...
Mmea wa mbangi, unaojulikana zaidi kama bangi, ni miongoni mwa vitu vinavyotumiwa sana ulimwenguni. Mbangi umekuwa ukitumika kama dawa, burudani, na kiroho kwa karne nyingi. Katika miaka ya hivi...
Wakuu salaam,
Watu wengi tumekuwa tukihangaika kupata matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayotusumbua kwa muda mrefu bila mafanikio yoyote. Tunatembelea hospitali mbalimbali, kupata vipimo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.