Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wiki ya Chanjo Duniani (World Immunization Week) huadhimishwa kila mwaka kwenye wiki ya mwisho ya mwezi Aprili ili kuongeza Ufahamu wa Umuhimu wa Matumizi ya Chanjo katika kujilinda dhidi ya...
1 Reactions
0 Replies
728 Views
Wakuu Poleni kwa muha hai ko ya hapa na pale kwa sababu ya kutafuta riziki ili nchi yetu pendwa iweze kusonga mbele Wakuu samahanini!!!!!! Kwa muda wa wiki kama tatu hivi nimekuwa nikisumbuliwa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Kwa ambae anajua hospital ya uhakika ya masuala ya uzazi au daktari mzuri wa masuala ya uzazi anijulishe pm au hapahapa iwe msaada wa wengi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupaliwa kwa mfumo wa hewa ni hali hatari na inahitaji hatua za haraka ili kumuokoa mtu. Hapa ni hatua za kwanza ambazo unaweza kuchukua ili kumuokoa mtu aliyepaliwa mfumo wa hewa: Tathmini hali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za sasa hivi, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nani mkazi wa mwanza ila kwa sasa niko Tanga kwenye masomo .. Nina maumivu mkali sana kwenye korodani zangu, kiasi kwamba hata mda...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Je tatizo hili linaweza kusababisha mwanamke kutokushika mimba?
1 Reactions
4 Replies
506 Views
Leo 22-04-2023 Nimetimiza mwaka bila chips Ilikuwa safari ngumu ya kujenga afya yangu hasa kwa mtindo bora wa maisha na kujikinga na maradhi sugu. Upi ushauri wako? Ni vyakula gani vya kupunguza...
16 Reactions
148 Replies
5K Views
Eti kuna hali mpya imeibuka inawatokea watu wanatokwa vipele kama tetekuwanga na vinawasha? Inatokea kwa baadhi ila rika zote Chanzo ni nini? Na tiba je?
11 Reactions
114 Replies
18K Views
Habari Jf Naomba kuuliza. Nimekuwa mara kwa mara nikisoma na kufatilia habari za maradhi mbalimbali. Lakini nataka kujua kutoka kwenu, nizingatie vyakula gani au mfumo upi wa maisha ili nijikinge...
1 Reactions
6 Replies
681 Views
Habari wana wa nchi yangu, Langu ni ombi tu kwa hawa wataalamu wetu wa afya, naomba wawe wanauliza mgonjwa kabla ya kumpa dawa Ana allergy na dawa gani? Kwa sababu dawa nyingi siku hizi zina...
2 Reactions
6 Replies
645 Views
Habari wataalam, Mimi ni mwalimu wa sekondari, shule ya wasichana tupu. Shule imejitenga ipi kijijini. Ni mwalimu wa Ushauri nasaha. Hiv karibuni nimepata changamoto kadhaa baadhi ya wanafunzi...
12 Reactions
76 Replies
6K Views
Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, Mimi i just recently joined JF so naomba msamaha kama nitakosea kitu Nilikuwa na swali about pharmacy ndani ya Tanzania. Currently ninasoma nje ya nchi and where niliko kuna kitabu/...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua...
9 Reactions
149 Replies
9K Views
Eczema (pumu ya ngozi): ni ugonjwa wa ngozi ,unaofanya ngozi kuwasha sana,ngozi kuvimba,kuweka vipele vingi vidogo vidogo venye rangi nyekundu. Ugonjwa huu huanzia utotoni mara nyingi pia...
5 Reactions
1 Replies
5K Views
Bado baadhi ya wanaume wanashindwa kupima afya zao wakitegemea majibu kutoka kwa wenza wao. Hali hii imekuwa ikiwaumiza wanawake wengi hasa wanawake wajawazito bila ya kujua wafanye nini Ili...
1 Reactions
3 Replies
933 Views
Mtoto wangu anatimiza mwaka mmoja ila anapenda sana kula karatasi. Je, ni tatizo la lishe? Na ni nini dawa yake? Tafadhali naomba msaada wenu
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu wa karibu Sana tulisoma nae hiyo miaka ya nyuma shule,ni mtu tumeshibana sana ila mimi nilipoenda kusoma ndipo tukawa tupo mikoa tofauti tofauti Sasa hivi karibuni nikaona mwana...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna maradhi Degedege na Kifafa, huwa yanawaingiza Watoto na watu wazima katika hatari, yakionekana kwa sura tofauti, kulingana na hali ya mgonjwa. Kuna kundi la wanajamii wanaunganisha na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Umewahi kuona mtu hawezi kuongea mbele za watu? Anatetemeka, anaogopa, haendi kwenye sherehe au mikusanyiko umewahi kujiuliza shida n nini? Umewahi kujiuliza kwanini mtu hawezi kabisaa kukaa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom