Mafunzo ya huduma baada ya mimba kuharibika Comprehensive Post Abortion Care (CPAC) yanayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na baadhi ya taasisi zisizo za Kiserikali, Marie Stopes Tanzania...
Habari wakuu,
Juzi kati hapa nilikuwa na mzuka sana wa kufanya mapenzi bahati nzuri kuna msichana akajilengesha nikafanya nae mapenzi! Tatizo ni kuwa huyo dada ni ameathirika na UKIMWI, Je vipi...
Wakuu mnakaribishwa kuuliza chochote kuhusiana na lishe na afya ya mwnadamu kwa ujumla.Ili kuelimishana na kuongeza maarifa lakini pia kujifunza njia salama za ulaji kuepuka matatizo ya kiafya.
Habari!
Ningependa kujua utaratibu wa kufungua health laboratory ikiwemo usajili wa serikali upoje pia na gharama za kuanzisha vikiwemo vifaa muhimu.
Asante!
Updates
Nilishtua baada ya siku moja na bao lipo fresh kabisa zito jeupee, wakuu labda macho yangu tu mawenge na woga
Ahsanteni wote wa wahi hospital mlinitisha
Hapa pumbu yangu ya kulia ndio...
Habari wataalamu wa Afya,
Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa...
Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu?
Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili?
Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
Hali ya uke kutoa sauti kitaalam hufahamika kama [Queef] au [Vaginal flatulence], ni hali ambayo hewa hutoka kwenye uke uliobana, ambapo hewa hiyo huweza kutoka kwa sauti ambayo inafanana na hali...
Wapendwa wana JamiiiForums Salaam
Ninaomba msaada wa matibabu au ushauri Nini afanye, ndugu yangu huyu na mtu wa karibu, maana najua humu Kuna madaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama "
"RAFIKI...
Habari kwenu wanajukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, hivi sasa yakiwa majira ya saa 7: 07 usiku nimeona iwe vyema kuandika uzi huu.
Ni kuhusu madhara hasi ya kujichua ama...
Mshukuru Mungu kwa afya bora,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Ninahamu kubwa ya kufahamu kwa mwanaume anaefanya mapenzi kila siku na mke wake ana uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kumpa...
Habari
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi ukimtoa analia.
Clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6.
Je...
Habari za asubuhi wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina matatizo makubwa ambayo yanahitaji Msaada mkubwa kwa kuwa nimekata tamaa kwa maisha niliyonayo,
Nimeshindwa kuweza kufanya mapenzi na...
Mshukuru Mungu kwa afya bora,
Moja kwa moja niende kwenye mada,
Ninahamu kubwa ya kufahamu kwa mwanaume anaefanya mapenzi kila siku na mke wake ana uwezekano wa kupunguza uwezekano wa kumpa...
Jamani Wana jamii wenzangu nimekula natabia ya kula chakula kwa haraka . Unakuta natumia dakika hata Tano au saba kumaliza sahani ya chakula iliyojaa kwa mlo mmoja .Je hii Ina madhara kwa Afya au...
Nimejifungua mtoto maziwa yalichelewa kutoka mtoto alipata manjano. Nilimpeleka hospital wakamuweka kwenye machine ya kutoa njano. Ninamtoa asibuhi juani ila naona bado haiishi.
Nomba mnisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.