Nawasalim ndugu zangu.
Naomba kuuliza humu kwa niaba ya ndugu yangu.
Amejifungua mtoto kwa c section mwezi wa pili haikuwa bahati yake Mwenyezi Mungu amemchukua mwanae.
Baada ya hiyo C Section...
Tende ni matunda yenye kiasi kikubwa cha nyuzilishe, protini, nishati, madini chuma, Calcium, zinc, copper, magnesium pamoja na aina mbalimbali za sukari.
Huwa pia na viondoa sumu vya Beta...
Ugonjwa wa moyo unajumuisha matatizo ambayo yanaathiri muundo na kazi za moyo. Ugonjwa wa moyo mara nyingi huhusishwa na kujibana au kukazika kwa mishipa ya damu, au mkusanyiko wa taka katika kuta...
Habari wandugu, nimekua nikisumbuliwa na presha ya kupanda kwa muda kidogo, nimefanya vipimo hospital tofauti tofauti na nimekua nikitumia dawa pia.
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na...
Habari waungwana na poleni kwa majukumu,
Nina mwanamke wangu ambaye alimaliza kujifungua na huu ni mwezi wa tano kwenda wa sita anatatizo la kuumwa tumbo kwa kubanwa chini ya kifua na vile vile...
Khabari zenu,
Nina mtoto mdogo wa miezi 5 sasa, ana ule mfereji katika kichwa una majina mengi sana. Kulingana na kila jamii, wengine huita nzata sijui nzasa but ni mpasuko katika kichwa.
Mke...
Habari zenu ndg,jamaa na marafiki katika JF,
Hivi ni nini tiba ya mtoto ya kuondoa mfereji kwenye kichwa cha mtoto maana mtoto wangu ana hilo tatizo,yaani bonde limeanzia kwenye paji la uso hadi...
MIMBA KUTOKA; HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA KUPATA MTOTO SALAMA.
Anaandika Robert Heriel
Yule Shahidi
Binti yangu endapo utakutwa na mkosi wa Aina Hii, naamn ndio Tatizo la mimba kutoka basi Mimi...
Wakuu habari, niende moja kwa moja kwenye mada, nikiwa nmezingatia visababishi vyote vya mafua km vumbi, manukato, moshi na vyote vinaavyofanana na hivyo, bado mtoto mafua hayaishi.
Hospital...
Goita (Goiter) ni uvimbe unaotokea kwenye tezi ya thyroid inayopatikana sehemu ya mbele ya shingo.
Tezi hii yenye umbo linalofanana na kipepeo huzalisha homoni za T4 na T3 ambazo huhusika...
Magonjwa ya moyo ni muunganiko wa magonjwa yanayoshambulia moyo, vishipa vipelekavyo/vitoavyo damu kwenye moyo na maumbile yanayotengeneza moyo kwa ujumla (Structural and vessels disease).
Moja...
Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo...
Wakuu natumaini ni wazima ndugu zangu nasumbuliwa na Kipanda uso sugu kwa muda wa miaka miwili sasa nashindwa nipate tiba gani kina wakati akili kama inataka kuchanganyikiwa
naomba msaada wa mtu yeyote anaejua dawa ya warts au sunzua, vinaota sehemu za siri kama vinyama vinanisumbua na vinazidi kuongezeka kila cku, mpk sasa nimegoogle nimekuta matumizi ya apple cider...
Nina rafiki angu ameingia period tarehe 27/03 na akamaliza vizuri.
Sasa leo amenitafta anaomba ushauri kua anatokwa na dam tangu juzi mpaka leo yaan siku 3 sasa kuanzia tarehe 8/04.
Hapa...
Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini?
Ni mimba au inaweza ikawa...
Habari za humu ndani?
Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda...
Vijana hususani wanaume wallo kwenye umri wanaotarajia kupata watoto, wameshauriwa kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya kuoga katika sauna ikielezwa kuwa kiwango cha joto kwenye bafu hilo ni...
Jamani wataalamu wa jamii forum naomba kujulishwa kuhusu hili swala,
Kwa nini mgonjwa mahututi akiomba maji wanasema usimpe? Na wakati huo huo maji ni uhai!
Nanukuu
Yohana 19:28 “Baada ya hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.