Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nimeota yanga wamechukua kombe la shirikisho baada ya kuwafunga as monastir bao moja kwenye dakika za mwisho Any way yanga watakutana na as monastir final save Huu uzi
3 Reactions
5 Replies
592 Views
Nakaribisha mjadala kuhusu TELEMEDICINE {Tiba mtandaoni} huduma hii inafanyika Tanzania, ni akina nani wanafanya au haiko kwenye mifumo ya Tiba Tanzania. Je, Tanzania inaweza nufaika na huduma...
0 Reactions
6 Replies
517 Views
KARIBU KWA MJADALA: Ingawa Tanzania sio nchi iliyokua sana kiteknolojia lakini kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira vijana wengi wanaingia kwenye ajira za mtandaoni. Tunashkuru kuna...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Jamani nimeenda sana hospital, nasumbuliwa sana na koo, hasa nikiongea na hushika moto kooni. Nashukuru mungu wakati wa kula nakula vizuri tu sisikii maumivu. Naombeni ushauri wenu wakuu au...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wapi nitapataa wapi wataalamu wazurii wa meno bandiaa kwa Tanzania ninapengo na meno yangu hayapoo katika mpangilio ulio mzurii sina anaefahamuu naomba anifahamishe na gharama zake.
0 Reactions
55 Replies
17K Views
Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Dalili za awali za Saratani ya Ubongo ni kichwa kuumwa, mtu anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu, akimeza dawa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wajuzi wa mambo naombeni majibu, Umri wa mtoto, jinsia au?
1 Reactions
6 Replies
714 Views
Kwa manufaa ya tusiojua na wanaojuwa watuhakikishie zaidi. Iko hivi hapa kazini kwangu jirani kuna duka la madawa,hivyo dada muuza dawa huwa tunapiga story za hapa na pale kiasi. katika story...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
kumekua na kesi mbalimbali za vifo sababu ya watu kumeza dawa kisha kujisahau na kunywa pombe.hii ni changamoto kubwa sana kwenye sekta ya afya..kawaida dawa yeyote anayopewa binadamu kutibu kitu...
12 Reactions
41 Replies
50K Views
Mfuko wa Utafiti wa UVIKO-19 wa Amne Salim: Jumla ya tafiti nane zimeweza kuzalishwa na watafiti mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kufuatia ufadhili...
0 Reactions
3 Replies
447 Views
Habari zenu Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu watu wengi mmekuwa mkipoteza fedha nyingi kujitibu maradhi ambayo hayapo miilini mwenu kutokana na madoctor wengi kutokuwa na weledi wa kutosha...
38 Reactions
99 Replies
75K Views
kwa bahati zuri nimepona Masundosundo kwenye uume ugonjwa umenisumbua takribani mienzi tisa +9 ) leo naandika hivi yani nimepona kabisa nashukuru sana Jf doctor Kinga muhimu sana ,
0 Reactions
5 Replies
762 Views
Nafahamu kweli mfano metronidazole inaleta side effect chapu tena inaweza ikaua kabisa ukichanganya na pombe Ila sijasikia dawa eti inaleta side effect taratibu. Kama ipo itaje, taja na side...
1 Reactions
3 Replies
823 Views
Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu kutungwa kwa ujauzito hadi kuzaliwa, mwili wa mtoto huhitaji kuwezeshwa kwa virutubisho muhimu ili ukuaji bora wa afya ya mwili na akili uweze kufanikiwa. Kwa mujibu wa tafiti, Ubongo wa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilikuwa maeneo ya kule kuna nani (Tanga), kama mnavyojua kwa wale wenzangu wasafiri wa mara kwa mara ukifika eneo fulani na kupiga kambi hamu ya kupata wenyeji inakuwa kubwa. Sasa...
0 Reactions
338 Replies
87K Views
Habari rafiki zangu,naomba kuuliza mtoto huanza kucheza tumboni akiwa na miezi mingapi??
0 Reactions
17 Replies
16K Views
Mchele wa brown ni nafaka iliyo na faida kubwa kwa afya ya binadamu. Huwa na aina nyingi zaidi za vitamini kuliko zinazopatikana kwenye mchele mweupe. Pia, kiasi cha nyuzilishe, madini ya zinc...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Takriban mtu mmoja kati ya sita duniani kote ameathiriwa na ugumba enzi za uhai wao, kulingana na ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO), ambayo inasema kazi zaidi inapaswa kufanywa ili...
1 Reactions
1 Replies
699 Views
Kutembea bila bila viatu, hasa kwenye sehemu ngumu za ndani ya nyumba mfano kwenye sakafu, kokoto, mawe, marumaru au mbao kunaweza kuwa mbaya kwa afya ya mguu wako. Kwa mujibu wa wataalamu katika...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom