Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habar! Wana JF, Kuna ugonjwa unaitwa 'NDIMI MBILI ', Je kuna mtu yoyote ambaye anaufahamu vizuri? Asante.
2 Reactions
2 Replies
15K Views
Alfalfa is a plant which sends its roots down twenty to thirty feet into the ground and brings up the minerals that are not available on the surface. For this reason, the Arabic word Alfalfa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo: Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, nimepata katoto kwa uwezo wa Mungu ila namuona anapiga chafya sana. Nimeambiwa kuwa ndivyo inavyotakiwa apige chafya ila nahofia mwanangu aaije akapata mafua itamsumbua...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni kweli sasa hivi umeme unasambazwa hadi vijijini kwa kasi. Hii inamaana kuwa hata kule vijijini kabisa kutakuwa na umeme, lakini tunapofurahia faida za umeme kule vijijini lazima pia tusikitie...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Hello Waheshimiwa wa JF, Doctors na wataalamu wa Afya . Naombeni msaada wenu please. Nikiamka asubuhi Mabega yanauma halafu nachoka sana sana , naombeni mwenye kujua dawa please.
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Wakuu naomba ufumbuzi wa hili tatizo hapo juu maana naona kama linazidi Sasa.Hofu na Wasiwasi inakuja Kwa kila jambo unalotaka kulifanya au unategemea kulifanya.Mwenye suluhisho naomba aweke hapa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasiwasi (Anxiety) ni jina linalotumika kufafanua vile mtu anavyohisi wakati wa hatari maumivu au matatizo. Watu wakiwa kwa hali hii na wasiwasi huwa wanjihisi kukasirika na kufadhaika. Hali ya...
9 Reactions
32 Replies
37K Views
Lozi (Almond): Lozi inajulikana kama ni King katika jamii ya njugu, ina elements karibia ya zote zinazohitajika katika mwili wa mwanadam. Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili. Kuna...
6 Reactions
30 Replies
65K Views
Hello guys. Poleni na hizi mbinde mbinde za Korona. Kuna tatizo la macho linalomsumbua mwanangu. Kwa sasa yupo Clinic CCBRT. Sasa basi, nilikua naomba kusaidiwa kupata nambari ya dokta bingwa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Waungwana naomba msaada wenu. Nimeweka vumbi la Congo ili niweze kusugua kwa muda mrefu lakini ni siku ya tatu ganzi haijaisha na sijafika mshindo. Je, niweke dawa gani ili niondoe hii ganzi na...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kumekuwapo na uivishaji wa ndizi kwenye makontena ya umeme Dar es Salaam. Sifa ya ndizi hizi ni kwamba zina rangi nzuri, tamu ila hazina harufu sana kama ndizi za kuzalisha kienyeji. Mchakato wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari jf doctor's Baada ya kwenda hospitali kumwelezea daktari matatizo yangu ya uzazi. Uti zisizoisha,candida zisizoisha.bleed vitone tone kila mwezi kidogoo. Vipimo vyangu vikaonyesha nina...
2 Reactions
56 Replies
35K Views
Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022. Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES Dr. Shakilu Jumanne Tunachoongelea hapa ni...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Damu ni muhimu sana katika mwili na ni chombo kinachotumika kukabiliana na magonjwa.Katika damu yapaswa iwe katika ph level ya7.0, ambayo ni alkaline. Hivyo ili mwili ukabiliane na magonjwa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Vifuatavyo ni vyakula muhimu sana kwa afya ya mwili wako ambavyo ukizidisha vinaweza kuwa hatari sana na kukusababishia maradhi mbali mbali. 1. Nyama ukila nyama kupita kiasi husababisha kiasi...
3 Reactions
1 Replies
996 Views
Nina tatizo la Vitiligo kwenye lower lips. Ilianza kama vidoti vidogo sana. Lakini naona kama inasambaa zaidi. Najihisi aibu. Nakosa confidence mbele za watu. Naomba watalaamu mnisadie namna ya...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Siku ya Ugonjwa wa Kisukari Duniani inatoa fursa ya kuongeza uelewa wa ugonjwa wa kisukari kama suala la afya ya umma duniani na nini kifanyike, kwa pamoja na kibinafsi, kwa ajili ya kuzuia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, Kidole kinaanza kuvimba na maumivu kwa mbali, msaada mwenye kujua dawa ya kutibu kabla hakijavimba sana, Sitaki kivimbe hadi ifikie hatua ya kutumbua, tafadhari mwenye kujua dawa ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom