Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Salaam Ndugu. Mara nyingi nmekua nikiambiwa kwamba vijidudu vingi ambavyo vinasababisha magonjwa [Pathogens] havisurvive kwenye alkaline environment. Je, hii ni kweli? Na kwanini? Ni vyakula na...
2 Reactions
1 Replies
450 Views
Kwa mujibu wa USDA, limao (ndimu) huwa na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini ya calcium, magnesium, phosphorus, potassium, sodium, zinc, copper, selenium na kiasi kidogo cha...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari waungwana, Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Marburg ni nini? Kwa mujibu wa WHO, virusi vya marburg ambavyo ni sawa na virusi hatari vya Ebola, viligunduliwa kwa mara ya kwanza baada ya watu 29 kuambukizwa na saba kati yao kufariki dunia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ugonjwa wa virusi vya Marburg, au zamani ukijulikana kama Homa ya kutokwa na damu inayosababishwa na Virusi vya Marburg ni ugonjwa hatari sana unaoweza kuambukiza binadamu na wanyama wengine...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za jioni, Naomba kujua kuhusu maeneo na taratibu za Hospital za Mission (za kanisa) ambazo gharama zake mara nyingi huwa ndogo na dawa za uhakika, ndani ya Dar es Salaam na maeneo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanaJF, Nimekaa ktk mahusiano na mwanamke fulani mpaka sasa tuna miezi mitatu ila tangu tuanze mahusiano yetu tulikuwa tunatumia kondomu kusex. Siku moja mwenzangu tukiwa...
1 Reactions
74 Replies
111K Views
Je, Unajua jinsi ya kukuza uume wako na kuwa na uwezo wa kuto kukojoa mapema kitandani wakati wa tendo la ndoa bila dawa za aina yoyote? Ni rahisi kwa kutumia njia halisi bila dawa yoyote...
3 Reactions
100 Replies
309K Views
nimekuwa nikishuhudia vitoto vikilalamika mara kwa mara kuumwa meno. vingine hayaumi lakini ukikaangalia meno yamelika hadi kanatia huruma ushauri- serikali fanyeni utafiti na mtoe elimu kwa...
2 Reactions
3 Replies
293 Views
Salaam....Wakubwa Shikamooni... Na vijana wenzangu Habaei za wakati huu poleni na majukumu wote kwa Pamoja. Naombeni msaada wa kujua au kupata mtaalam wa ukweli na uhakika. Naitaji Dawa ya...
1 Reactions
82 Replies
24K Views
Shirika la Afya Duniani limesema Ugonjwa wa Kipindupindu unaenea kwa kasi katika maeneo mengi huku hali ikiwa mbaya zaidi Barani Afrika , tokea tathmini yake ya mwisho mapema Februari, 2023 Hadi...
1 Reactions
4 Replies
511 Views
Njia yangu ya mkojo inawasha sana mpaka kuna muda natamani niikune hivi, pia kuna muda niliona kama kuna uchafu kidogo kama usaha kwenye boxer baada ya kuamka. Pia nikiwa nakojoa naona mkojo kama...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Nina uzito/unene uliokithiri na ningependa kuupunguza bila kudhurika kiafya. Nimejaribu kusoma websites/vitabu kadhaa, wengi wanatoa ushauri/diet plans kutumia bidhaa au vyakula ambavyo naona...
11 Reactions
872 Replies
426K Views
Salamu Sana Wanajamvi. Nina Hakika humu Kuna Watu ambao wameugua Kiharusi, Stroke, na wakapambana nao na kupata Nafuu kama Sio Kupona Kabisa. Tupeane Ushauri. Nilipata Kiharusi tar 23 Nov 2022 na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Nimekuwa na changamoto ya kupiga chafya na kuwa na mafua makali kila asubuhi. Nimetumia dawa zote za mafua lakini hazitibu bali zinapoza tu tatizo. Naomba kujuzwa chanzo cha mzio huo na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna dawa za mitishamba zinauwezo mkubwa sana. Kama kuna dawa ilikuwa inaitwa ngetwa dfp kama nitakuwa nimekumbuka vizuri, sijui hii dawa imepotelea wapi, iliokoa jino langu. Nilikwenda...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hellow Nimepata shida ya mgongo baada ya kuanguka kwenye malumalu niliteleza wakati mvua inanyesha nilikuwa nachota maji sasa bahati mbaya ile napanda ngazi tu nikala mueleka nikajua nakufa kifo...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu salamaa, Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala! Je...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Kama tujuavyo inawezekana kubeba mimba kuanzia week ya 4 tuu baada ya kujifungua. Hivyo ukilegeza vichwa vyote viwili unashangaa unapeleka mtu leba mara 2 kwa mwaka. First born kazaliwa January...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naumwa tumbo kuzunguka kitovu muda mrefu dawa zote zimeshindikana, naomba mawazo yenu
1 Reactions
4 Replies
348 Views
Back
Top Bottom