Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake.
Kwa kuzingatia umuhimu wa...
Shinikizo la juu la damu mwilini ni ninni?
Namna ambavyo damu yako hupiga kwenye ukuta wa mishipa ya mwili wako huitwa shinikizo. Kwa kawaida shinikizo la damu la mtu hupanda na kushuka siku...
Kwa muda sasa nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakipatwa na ugonjwa wa Presha na kisukari. Lakini mara wanapogundulika kuwa na ugonjwa upewa dawa za hospital na wengine huanzishiwa kliniki lakini...
Tattoo ni nini?
hii ni uwekaji wa wino kwenye ngozi ya ndani kitaalamu kama dermis kubadilisha rangi kabisa ya maisha yako yote au kwa muda tu, inategemea na uwekaji..
kwa dunia ya sasa...
Dkt. Jane Bazilio ambaye ni Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi anaelezea kuhusu afya ya sikio.
Anasema "Watu wengi wamekuwa na matatizo ya...
Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na...
Kila siku silali bila kupata Konyagi chupa ndogo 200 mls, napata usingizi mzuri, napata apetite ya kula, napata relaxation nk.
Je, kiwango hicho kina madhara Konyagi ina faida gani kiafya tofauti...
Habari wakuu.
Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa...
Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake.
Huduma hii ni salama...
Ni zp faida na hasara za kunywa maji mengi ya baridi!nimekuwa nikinywa maji mengi ya baridi sana!
Naomba msaada wenu
===========
Effects of Cold Water
If you like to drink cold water then you...
Wakuu habari za miangaiko ya hapa na palee.hichi kitu ninamiaka Kama 10 Sasa kinanisumbua,asubui huwa kinauma Sanaa,nimejaribu kwenda hospital nyingi Ila bado iko pale pale,Kuna saa kinauma vibaya...
Habari Wana Kijiji,
Kwa muda tunapost thread nyingi ni za kuomba msaada/umbea/habari na kupeana ushauri. Leo nimeamua kuja na thread hii ya kufundisha/kukumbusha/kuelimisha na kutahadharisha...
Ningependa kujua dawa ya asili inayoweza tibu UTI,kuna mtu aliwahi nambia ila nimeisahau,kwani kuna vitunguu Saumu,tangawizi na vitu vingine.Anae jua anisaidie pls.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wa nchi naombeni msaada wapi nitapata mganga wa kienyeji kwani nina tatizo ambalo linanisumbua sana.
Nimeshaenda hospital mbili za rufaa wanasema hamna tatizo. Nimeshaenda kwenye maombi...
Habari wakuu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na Malaria kwa kipindi kirefu kidogo, nimejaribu kutumia dawa nyingi za kizungu zinanisaidia lakini baada ya miezi 5-6 unakuta malaria inarudi tena, sasa kwa...
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye...
Ndugu zangu madaktari, nyama Ina tatizo gani? Sijawahi kusikia daktari akimshauri mgonjwa ale nyama kwa wingi.
Huwa wanatuambia kula mboga nyingi, au kunywa maji mengi au matunda mengi. Wengine...
Watu wetu wengi ni maskini sana na wajinga wasiofuata kanuni za afya kujilinda dhidi ya maradhi. Nchi haina maji, umeme, barabara, chakula na nyumba Bora za kuishi toshelezi kumudu kupambana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.