Karafuu, tangawizi, na mdalasini, Tsh 300 tu.
Imekuwa ni desturi yetu kutumia dawa za hospitali sana ambapo matokeo yake ni mda mfupi. Kama umetumia dawa kwa ajili ya maumivu ya tumbo km. Amoeba...
Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida nyingi katika mwili wa binadamu, ambapo tafiti zinaonesha unaweza kusaidia mambo haya:
Tafiti kadha wa kadha zimefanyika na zimeainisha yafuatayo juu ya...
How a glass of red wine or a handful of peanuts could prevent memory loss: Both contain antioxidant that protects cells from age-related damage.
Compound in red grapes key in battle against...
Hizi ni dalili za mtu mwenye ugonjwa wa afya ya akili ujulikanao kama Sonona (Depression).
Kumbuka: Usijitafakari kwa kuona dalili mojawapo na kuhitimisha kuwa unalo tatizo la afya ya akili...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo na idadi ya Wagonjwa inaongezeka
Inashauriwa kuzingatia Lishe Bora, kula Matunda/Mbogamboga, kupunguza kiasi cha...
Habari za leo wakuu,
tumbo langu linaunguruma mpaka
linanitia wasiwasi
Yeyote mwenye kujua tiba ya hili
tatizo anijulishe tafadhali
Nashindwa kukaa sehemu
zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo...
Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake.
Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea...
Kuna wakati mtu anataka kuwa na shape Fulani lakini inashindikana. Unataka kuongeza uzito lakini inashindikana, unataka kupunguza uzito lakini inashindikana, turudi kwenye aina za miili...
Imenitokea na nashangaa sana.
SI kwamba nilikula mbichi no! Haikuwa nyama kwa nyama. Ila Cha ajabu baada ya siku mbili uume na eneo Lilo na warts nikakuta alama alama tu.
Nimekuwa mahusiano na...
Wadau
Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini?
Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo
Mapenzi...
Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali.
Siku moja napita pita...
Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama...
Habari zenu? Nina ujauzito wa wiki 35 napata maumivu ya makalio, mapaja, mgongo, kiuno na tumbo linakata chini ya kitovu Kama vile kisu nilienda Jana hospital nikafanya ultrasound mtoto...
Ndugu zangu hari yangu ni mbaya kiasi kwamba siwezi kuwajulia khari,
Binafsi nilikuwa nabadilisha nguo kutoka kabatini baada ya kuvaa suluali yangu ya jinsi nikachomwa na kitu chenye ncha kali...
Ni nini inaweza kuwa sababu ya mtoto wa miezi 9 kuwa na miguu dhaifu? Yaani hataki kabisa kukanyagia miguu. Ukimsimamisha anajikunja, ukiforce anakaa. Jinsia ni Me.
Natanguliza shukurani
Maumivu ya uongo, uchungu wa Leba ya uongo (false labor, spurious labor). Leba ya uwongo inapatikana zaidi kwenye mimba ya kwanza kuliko kwa wanawake walio wahi kuzaa awali. Kawaida huonekana...
Watanzania suala la kupima sio tamaduni zetu. Watu wengi tumepuuzia magonjwa ambayo sio ya kuambukizwa kama ili la shinikizo la damu na moyo.
Kwa matumizi yetu ya vyakula na maisha yetu kuona...
Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au...
Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe.
Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.