Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa...
3 Reactions
2 Replies
577 Views
Kama kuna yeyote anajua vile unaweza kupoteza ndevu permanently anijuze, kwa faida ya wengine pia.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
IGWEEEE Wakuu kuna wakati ni kipindi cha nyuma sana nikiwa kidato cha 6 tuliwahi pewa semina haikuwa rasimi sana na ilikuwa inahusu swala la vidonge au Sindano za Uzazi wa Mpango. Jamaa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Vinywaji kama Soda vipewe kibandiko cha tahadhari kwa afya (Unywaji wa Soda ni hatari kwa Afya) kama ilivyo kwa sigara! Si rahisi kuamini kwa kuwa ni kinywaji kilichozoeleka karibu kila dunia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za Alasir ndugu wa jamii forum kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni msaada wa mawazo ama kama kuna mtu anaweza tatua tatizo langu itakua vyema na mwenyezi Mungu amjalie in...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Jaman sehem ya chini ya korodan langu ni nyeusi kama baka moja kubwa na kati kat ya mapaja miguu yote miwili Kuna kama malenge jaman fangas itaniua ase.
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tatizo La Kuwahi Kufika Kileleni Ni Nini? Kuwahi kufika kileleni au kuwahi kumaliza tendo la ndoa au kwa lugha ya mtaani kukojoa upesi ni hali ambayo inampata mwanamme ambapo hutoa shahawa kabla...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu naomba Kuuliza hospital zinazofanya Tapping Kwa mgonjwa aliye na Maji kwenye mapafu. (Tapping ni njia ya kutoa Maji Kwa Kutumia sindano) Nina Mgonjwa ambaye ana Maji katika pafu Moja. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Habari zenu wana jamvi poleni na miangaiko ya kila siku s niende Kwenye moja kwa moja Nimekua muhanga wa ngozi kusinyaa na kupoteza mvuto yaani inapauka pauka kama kipindi cha balidi Kipupwe...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wakuu, Naomba msaada, Mjamzito kupumua kwa shida wakati fulani huwa inasababishwa na nini? Hii kitu inatatuliwaje? Maana hospitali walimpa tu dawa na kumwambia ni hali ya kawaida tu ila...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Tafadhali mwenye kujua dawa meno yanaisha ukicheki bado sina hata miaka 30, mpaka sasa nimeshang'oa mawili.
0 Reactions
16 Replies
800 Views
Habari wana jf poleni na majukumu ya kila siku msaada wenu ni muhimu sana kwangu nasumbuliwa na hili tatizo la kutokwa mchafu sehemu za siri zaidi ya miaka miwili sasa. Yaani ipo hivi nikenda...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Jarida la Journal of the American Heart Association limechapisha Utafiti unaoonesha Watu wenye miaka kuanzia 30 wasio na ratiba nzuri ya Kulala au Kupumzika Usiku, wanakuwa kwenye hatari mara 1.4...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nina mtoto wangu ambaye anasumbuliwa na kifafa kila apatapo hom kali au sometime homa ya kawaida tu. ilianza akiwa na miaka miwili. alivyofika miaka minne hali ni kama ilizidi kidogo...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari Hali ni mbaya Kwa kweli takwimu zinaonyesha nchini kwetu kua kati ya wanawake kumi (10) , sita (6) wanavirusi vya ukimwi Ni vyema tuchukue tahadhari
1 Reactions
14 Replies
856 Views
Uume mwembamba, ukisimama ni nchi nne na nusu hadi tano urefu. Nakosa confidence ya kuwa na mahusiano na wasichana kabisa. Naishia kununua malaya wanaojiuza ili walau kupoza kidogo! Nimechoka...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30+ ila bado sijaoa kabisa, nimekua nikipata sana maomivu ya kiuno na saa nyingine yanafika hadi kwenye hii mishipa ya...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wanandugu, poleni na majukumu ya kila siku, wala siwapi faraja sababu najua tutapumzika kaburini[emoji28] Kuna jambo limekua kama katabia siku hizi, watu wanakunywa virutubisho na...
2 Reactions
33 Replies
19K Views
Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
3 Reactions
19 Replies
7K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisa. Nilienda kuoa mke wangu kijijini kwetu Kafyofyo Kyela kisha tukaja hapa mjini Dar ninapoishi. Awali sikuwahi kuishi na mke wangu nyumba moja...
7 Reactions
77 Replies
4K Views
Back
Top Bottom