Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Ndugu zangu habari za Wakati, poleni na majukumu ya kujenga Nchi n.k. Mimi na tatizo naombeni msaada hasa Kwa wale wajuzi wa mambo. Mwaka jana nilifanya mapenzi na mdada mmoja, Baada ya...
8 Reactions
79 Replies
6K Views
Waku za sahizi asee nimekuja hapa kuomba ushauri wenu kidogo kwa ambae atakuwa na wazo zuri Picha inaanza mimi ni mwanaume mtu mzima wa miaka 20. Changamoto yangu ni kuwa mapumb* yangu ni...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii ni baada ya mahakama Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji) Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika Kusimamia Mali zake kwenye wosia...
0 Reactions
4 Replies
426 Views
Hatari siku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja hivi!! Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwenye dudu!! Nikaenda nikapima hawakuona kitu Hali ikaendelea mpaka mwez wa9!! Ambapo...
24 Reactions
140 Replies
19K Views
SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile...
2 Reactions
3 Replies
578 Views
Habari za mda wana JF Samahani naomba kwa yeyote ambae amewahi kutumia titan gel anipe muongozo kama kweli ilimletea matokeo ni hayo tu.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
M
0 Reactions
2 Replies
188 Views
Anaandika Kenge Salam wanabodi! Maradhi ni moja ya adui mkubwa wa Taifa letu..kila kukicha maradhi yanaibuka leo utaumwa hiki kesho utaumwa kile..hii yote ni kwasababu ya lifestyle yetu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Yamenikuta, wakati napiga game ghafla condom ikapasuka. Nimekosa amani baada ya hapo. Nimepata mfadhaiko sana. Ninachoomba kwenu ni ushauri wa nini cha kufanya ili kuzuia maambukizi yoyote...
1 Reactions
51 Replies
10K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa watu hao wanatarajiwa kuwa na matatizo ya usikivu wakati Watu Milioni 700 watahitaji tiba ya matatizo ya usikivu. WHO linaeleza kuwa zaidi ya vijana...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Nimekua kero kwa watu nikilala hua sijijui Kama nakoroma Ila nikiamka watu huniambia nakoroma kwa sauti Kali Sana ata mtu akiwa mita amsini hunisikia Kama kunadawa ya kuacha msaada niambieni ili...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Jamani ningependa kuuliza kuna wanaume wengine wanakuwa na ama vijititi vidogo na wengine makubwa kabisa... Nikaona nipate ufahamu, maana kuna mdogo wetu nae amekutwa nayo... Naomba mtupe data...
0 Reactions
35 Replies
21K Views
Habari wakuu, Kwanza kabisa, napenda kuwaomba Modes wasiufute au ku merge huu uzi na nyuzi nyingine. Lengo la uzi ni kupata feedback tu za wale waliokua na fungus sugu sehemu za siri na wakapata...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) zimeeleza vifo hivyo vinatokana na changamoto za kiafya au ulemavu unaohusiana na masuala ya uzazi. Changamoto hizo za kiafya pia zimechangia vifo vya Watoto...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Jaman Bado nateseka Hali yangu inazid kuwa mbaya juzi nimetokewa na malenge lenge kat ya mapaja na chini ya korodan panazidi kuwa peusiii mno Kila nikipak detoll panakauka na mangoz yanabanduka na...
2 Reactions
8 Replies
420 Views
Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza hatua hiyo itafikiwa ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema na kuwa zaidi ya watu bilioni nne watakuwa katika hali hiyo. Ripoti imeonesha...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Habari za muda huu wadau? Nina tatizo la Tumbo "Kunguruma" linalonisumbua kwa muda mrefu sasa. Hali hii hunitokea zaidi wakati wa usiku, na siku za karibuni limeanza Kunguruma hata nyakati za...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa...
7 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana Jamii,Natumaini Mko salama Ngoja Niende Moja kwa Moja Katika Mada Mimi Ni Kijana. Katika Utafutaji Wangu Wa Maisha Nakumbwa Na Hili Tatizo. Sijaajiliwa,Naishi Kimchongo Mjini (Dar)...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu watanzania,mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu.Tatizo lake hataki kula chochote tofauti na kunyonya tu. Nilishanunua dawa za minyoo katumia mpaka basi,nikanunua vitamni B...
1 Reactions
6 Replies
715 Views
Back
Top Bottom