Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wengi ni wabishi Sana Huwa hawakubali mambo kirahisi. Wana uelewa Sana kwenye mambo ya hisabati. Wanafanya vizuri Sana kwenye maths and related sciences.
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Matumizi ya Mtandao yamesaidia Kwa kiasi kikubwa kurahisisha Maisha ya binadamu. Kutokana na uwepo wa taarifa nyingi za afya zinazopatikana Mtandaoni, baadhi ya watu huzitumia katika kujitibu...
1 Reactions
0 Replies
472 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wandugu habari zenu! wapendwa niliugua tetekuwangu mwezi mmoja umepita, nimepona sasa naendelea na masomo/ kazi yangu kama kawaida. Nimebalkiwa...
1 Reactions
463 Replies
477K Views
Hapa tutajikumbusha madhara baadhi ya minyoo nasema baadhi kwa Sababu yako mengi. 📌 Mgonjwa anaweza kutapika damu 📌 Miwasho mikali kwenye puru na sehemu za siri kwa wanawake 📌 Inaweza kuathiri...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo vipi, Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu, naomba msaada wa kupata vipimo vya HIV vinaitwa Determine Early Detect. Nikimaanisha ni famasi gani ama hospitali gani naweza kuvipata. Natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa. Ahsante.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hellow JF... Kuna hii sindano ya nusu kaputi ambayo mara nyingi huchomwa wagonjwa wanaofanyiwa upasuaji hii sindano mtu akishachomwa huwa hasikii wala kuhisi chochote kile yaan anakuwa kama...
5 Reactions
30 Replies
11K Views
Wakuu naomba msaada hiyo result kama inaweza zalisha
0 Reactions
9 Replies
362 Views
Chips zege (mchanganyiko wa viazi na mayai ya kisasa) Miongoni mwa Chakula kinachopendwa sana katika jamii yetu ni Chips, ambapo miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. Pia inasemekana ni...
6 Reactions
29 Replies
12K Views
Dkt. Nicephorus Rutebas ambaye ni Bingwa wa Magonjwa ya Mishipa ya Ufahamu anasema: Maumivu makali ya kichwa kwa mgonjwa, anaweza kuumwa na kichwa muda mrefu na maumivu yakawa tofauti na maumivu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ugonjwa wa kupoteza fahamu (Dementia) ni nini? Neno ‘Dementia’ (ugonjwa wa kupoteza ufahamu) linaelezea dalili mbalimbali kama vile upotezaji wa kumbukumbu, matatizo ya kufikiria au kuongea, na...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda mrefu Wanajamvi Leo 14 siku ya kumbukizi ya kifo cha Baba wa taifa na ni siku nne tangu kilele cha maazimisho ya siku ya MAGONJWA ya akili ambayo huazimishwa kila mwaka tarehe 10...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
kila nikiamka asubuhi ni lazima nikute taka nyingi masikioni kwangu,taka rangi jama kijivu au brauni hivi, kila nikizisafisha kesho yake zinakuja tena. Je, nitumie dawa gani?
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Surua ni nini? Surua au kwa Kiingereza “measles” ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote ila huathiri zaidi watoto. Dalili za awali za surua ni koo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FAIDA ZA STRAWBERRY MWILINI NI PAMOJA NA; 1. Husaidia katika kuimarisha uwezo wa ubongo katika kuweka na kutunza kumbukumbu,hivo kumfanya mtu kuwa na kumbukumbu zaidi 2. Matunda haya yana...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Usahaulifu au amnesia kwa lugha ya kitaalamu ni hali inayosababishwa na mtu kutokuwa na afya ambayo watu wengi huugua bila kujua. Wakati mwingine hugeuka na kuwa ugonjwa unaofahamika kama...
4 Reactions
1 Replies
585 Views
Habari Wakuu sipo vizuri sana kwenye kuandika hivyo kwenye mapungufu mnivumilie. Nina mtu wangu wa Karibu ni mama wa watoto watatu huwa anajifungua kwa Kisu, sasa anauliza je ni salama yeye...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Kwa kifupi jicho moja lishaanza kupoteza uwezo wakuona kazunguka hospital nyingi ila hakuna nafuu na mbaya zaidi walimwambia anaweza kua Kipofu. Naomba anayefahamu njia mbadala za kupambana na...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Back
Top Bottom