Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Watoto 12 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na surua katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi kusini magharibi mwa Tanzania . Kati ya kipindi cha mwezi wa 12 mwaka jana hadi kufikia mwezi wa pili...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi...
11 Reactions
14 Replies
4K Views
Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Utafiti wa zaidi ya miaka 17 wa Chuo Kikuu cha Michigan nchini Marekani ulibaini kuwa Wenza wanaozungumza baada ya Kukwazana na Kupandishana Hasira, wanaishi muda mrefu zaidi. Pia, utafiti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum. Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000...
16 Reactions
146 Replies
180K Views
Habar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara...
5 Reactions
192 Replies
9K Views
Habari za majukumu ndugu zangu. Naomba msaada wa kimawazo, ushauri na hata tiba ya hili linalonitatiza. Ni Kama wiki sasa naona kuna mabadiliko kwenye sehemu ya ngozi ya uume wangu, seheme ya...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70! Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi! Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za...
11 Reactions
104 Replies
9K Views
Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Familia imeweka wazi kuwa Staa huyo aliyetamba katika filamu nyingi zikiwemo Die Hard, The Sixth Sense na Armageddon anasumbuliwa na ugonjwa wa #FrontotemporalDementia unaomfanya kupoteza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni...
14 Reactions
34 Replies
2K Views
Habar wakuu nimekua ikinitokea wakati nimelala usingizini macho huuma inakua inanitokea Mara moja moja Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
289 Views
Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini, Leo nimeamua kutupa kapuni kadi yangu ya NHIF ya UNAJALI baada ya kukosa mawasiliano na NHIF HQ ili kuweza kupata huduma ya kulipia kadi yangu kwani inaisha muda wake na niko mbali na...
0 Reactions
2 Replies
362 Views
Habari wadau, Moderator Mods watanisaidia ikae jukwaa la Afya au urembo Nina mwanangu alitogwa masikio pale m city wakamwekea hizi english gold. Na mama yake akashauriwa kumpaka spirit ili...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
“Coca-cola si kinywaji salama kwa mwanadamu”- Utafiti Coca-cola ni nembo kubwa sana katika historia ya nembo ya bidhaa na utafiti umeonyesha ni nembo maarufu duniani baada ya “hallo”, Ni neno la...
1 Reactions
31 Replies
26K Views
5. Utaratibu wa Kumhudumia Mama baada ya Kuzaa Kipindi cha 5 Utaratibu wa Kumhudumia Mama baada ya kuzaa Utangulizi Huduma baada ya kuzaa kwa mama inapaswa kukabiliana na mahitaji yake maalum...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu uongo umekuwepo miaka mingi sana. Ukweli ni kuwa maziwa hayana nguvu yoyote ya kutibu sumu. Mtu anayekunywa maji na anayekunywa maziwa baada ya kunywa sumu wote wapo sawa. Unakuta mtu...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Naomba kwa anayefahamu dawa inayoitwa udishe anijulishe na inapopatikana.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wanaJF polen na majukumu ya dunia hii"" lakin all in all ni kupambana na kuhakikisha tunafikia malengo yetu, moja kwa moja kwene mada; Nina shida ya kuwasha kwenye mrija wa kukojolea, pana...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom