Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nimeanza rasmi kutumia tiba mbadala. Ninatafuta vitu vifuatavyo manjano,habatsoda,asali,mdalasini na Khurinjani. Tatizo siijui KHURINJANI! Ninaomba mwenye picha yake anitumie! JF imenisaidia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
HABARI Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu. Wakati wa mwanzo wa ujana wangu nilifundishwa kitu kibaya, rafiki yangu mmoja aliyekuwa amenizidi umri alinipa ushauri ambao umeniharibia 'future' yangu kama mwanaume. Wakati huo nikiwa...
3 Reactions
40 Replies
12K Views
Wakuu kichwa cha habari cha jieleza. Kazi ya kufundisha iwe elimu ya juu ama hizi za chini zina involve kuongea..... Sasa mimi nikiongea muda mrefu mdomo unanuka sana mpaka wanafunzi wanaziba pua...
4 Reactions
34 Replies
8K Views
Uyoga umekuwa ukitumiwa kwa miaka takribani 400 iliyopita katika kutibu magonjwa mbalimbali ya mwanadamu hasa katika Falme za kichina walitumia sana uyoga mwekundu kujitibia. baadhi ya kazi za...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, wakuu. Nimepata chanjo ya corona tarehe 15 mwezi huu pale hospitali ya bukoba government hospital. Sasa nimpewa cheti cha kawaida ambacho sio cha kidigitali.. nimeambiwa mtandao unasumbua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari kama kichwa cha habari Naomba kuuliza dawa ya sikio kuuma Maana sikio la upande wa kushoto lina sumbua sana Linapoa then linaaanza tena kuuna
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Wadau habari ya mapambano,naomba kujua hali ya corona ipo vp hapo mitaa yenu, home kwangu familia nzima imepigwa na mafua makali sana. Na kwa upande wa wife dalili ndo kama zile za awamu ilee...
1 Reactions
14 Replies
670 Views
Jmn daktari yoyote anisaidie hasa kwa Dar es Salaam Chalazion surgery kwenye hospitali za serikali ni shingapi Please wakuu
1 Reactions
11 Replies
499 Views
Naombeni sana wanaJF, yeyote anayefahamu dawa ya kuondoa madoa meusi mashavuni known as Melasma anisaidie. Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu wanajamii forums Naombeni msaada wa mawazo,,mpenzi wangu anaumwa na tumbo kama kati kati ya kitovu na anapopitisha chakula chochote katika mwili wake, anatapika na kuharisha.
0 Reactions
12 Replies
899 Views
Nawasalim kwa pamoja ndugu zangu Mimi kijana wa miaka 32 Nimeoa Nina mtoto 1 Tatizo langu ni Maumivu yaliyopitiliza na ya muda mrefu ya kiuno Maumivu ya mara kwa mara ya kichwa ni kama miaka 7...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Wataalam nawasalimu, Moja Kwa Moja nakuja kwenye tatizo. Juzi alhamis mwanangu mdogo alirudi kutoka shule akiwa anachechemea kidole gumba hakigusi chini anakipandisha juu ya nyayo...
1 Reactions
5 Replies
294 Views
Wife katokewa na vipele kwenye kitovu huu unakuwa ni ugonjwa gani??Kama kuna mtaalam plz anijuze
1 Reactions
4 Replies
382 Views
Wadau kwa yeyote ambae amewahi kupona tatizo la nguvu za kiume, tunaomba msaada aliponaje au alitumia dawa gani had akapona kiufupi mimi nimeathirika na punyeto ila nishaacha baada ya kuona...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Wadau,,,,kama kichwa kinavojieleza tunaomba yoyote ambae amewahi kupatwa na tatizo la nguvu za kiume na akapata tiba na akapona tunaomba atusaidie na namba ya aliemtibu ,,,, ahsanteni
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu, Hivi Kwa nini tiba za kisaikolojia hazitumii Bima ya Afya( NHIF)?
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Vitamini unazotumia kabla ya kujifungua zina virutubisho vingi mtoto wako anavyohitaji, hivyo basi kuna umuhimu gani waa mama mjamzito kuangalia kwa makini lishe yake? Inaathiri afya ya mtoto...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Kiasi cha Sh4.5 bilioni kimetumika kufanya uwekezaji wa ujenzi, miundombinu na vifaa tiba vilivyotumika kuanzisha Kituo cha Huduma Pandikizi (IVF) cha Hubert Kairuki. Kituo hicho cha kutoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Epuka Kutumia dawa bila ushauri wa daktari hasa wale wakutumia Paracetamol kwa kila ugonjwa 2. Fanya masaji kwa mtiririko mzuri wa damu 3. Epuka matumizi ya pombe na vilevi vyovyote 4. Tumia...
1 Reactions
0 Replies
773 Views
Back
Top Bottom