Vinywaji vya kuongeza nguvu, visivyo na kilevi, kisayansi vinaelezwa vina kiasi kikubwa cha kafeini, vitamini pamoja na kemikali za taurine, glucuronolactone.Wakati mwingine pia huongezewa dawa...
Mtama ni nafaka iliyo na kiwango kingi cha protini, vitamini B6 na B1 pamoja na madini chuma, copper, magnesium, selenium na zinc.
Pia, huwa na kiasi cha kutosha cha kampaundi za Flavonoids...
Imebainika kuwa zaidi ya watoto 3,000 nchini hukosa matibabu ya moyo kila mwaka.
Kutokana na hali hiyo, madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka nchini Kuwait wameweka kambi ya wiki...
Februari 4 ya kila mwaka huwa ni maadhimisho ya siku ya Saratani duniani.
Takwimu za Afrika
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), bara la Afrika hupatwa na visa vipya vinavyokadiriwa...
Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000...
Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili.
Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa...
Kwa muda wa miaka mingi Sasa kutokana na mihangaiko, hali ya uchumi na harakati za hapa na pale nimejikuta nashindwa kupata mlo wa hasubuhi au kifungua kinywa na mara nyingi naishia kupata mlo wa...
Habari wakuu.
Nimeamka nije hapa Jamii Forum niweze kupata Ushauri WENU ndugu zangu.
Ninasumbuliwa na Ugonjwa kwa Miezi Mitatu sasa.
Historia Fupi ya Ugonjwa.
Nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi...
Mambo vp wakuu natumaini mko vizuri....
Naomba kuuliza mwenye uelewa na hizi dawa za typhoid (Cipro)
Naona zinanipeleka Kasi kweli kweli, baada ya vipimo typhoid ilikuwa 160 ila hizi dawa naona...
Habari wakuu, mimi nimegundulika nna multnoduler goiter ambayo imetokana na t3 kuwa high sasa wakuu nambiani nin kinasababisha t3 kuwa juu na je tiba gani ya kushusha t3
Sent from my Infinix X656...
Habari za alasiri,
Kama nilivyoeleza hapo juu ,nimekuwa nikwashwa kila ninapomaliza kuoga. Muwasho huu huchukua takribani nusu saa ndipo nakuwa kawaida. Mwanzoni nilifikiri ni sabuni ninayotumia...
Hello ,habari za muda huu wa Jf. Nije moja kwa moja kwenye mada. Nina jilani yangu mwenye umri Karibu kama mama yangu.
Toka mwaka jana mwezi wa 10 alianza kuugua, kwa mala kadhaa alikua anapata...
Naomba msaada ndugu maana nipo kwenye hali ya masononeko sana nashindwa kuelewa hiki ni nini.
Ipo hivi, nipo kwenye mahusiano na binti fulani mweupe sana na ni mrembo kweli kweli ila jambo linalo...
Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi.
Dkt. Masalu...
Faida Za Zinc Katika Mwili
Utafiti umeonyesha kuwa madini ya zinc yana faida nyingi sana katika mwili. Zinc ni muhimu katika utendaji kazi wa vimeng’enya zaidi ya 300 vinavyosaidia shughuli za...
Karibuni tupate
Kichwa cha habari chahusika
Huwa inapigwa na kidole kabla ya kuchomwa
Wenye kujua watujuze tupate elimu.
Je ni Sayansi au mazoea?
Faida yake Nini hasa? elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.