Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari Wana JF, Naombeni ushauri ndugu zangu namna ya kuishi na mtu mwenye stress over. Nimeshagundua rafiki yangu anatatizo la afya ya akili kwasababu. Ni mtu mwenye hasira muda mwingi Hana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar wana JF nilikuwa nahitaji kufahamu na kupewa taaluma juu ya mtu mwenye makengeza yanatibika! Na tiba yake ipoje? Na je huyo mtu anaweza akawarithisha na watoto wake?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kisonono (gonorrhea) ni nini? Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Napenda kuwasalimu wanajamii forums.Kama mada inavyojieleza hapo juu tatizo lilianza kama mafua makali ambayo yalikuwa yanafanya Pua langu liume na nishindwe kulala Kwa raha.Lakini namshukuru...
0 Reactions
4 Replies
756 Views
Wakuu mmeamkaje, nina masuala mawili nahitaji msaada wa mawazo yenu 1) Wife amejifungua kwa operation watoto 2, sasa aliposhonwa, kesho yake tumbo likavimba sehemu. Alipopimwa Ultrasound dokta...
1 Reactions
6 Replies
440 Views
Vijana wengi wenye umri chini ya miaka 35 tunapata vipara. Vipara vinaondoa muonekano mzuri wa vijana na kuonekana wazee. Nimeleta hii mada nikiwa kama muhanga. Naomba serikali kupitia wizara ya...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
0 Reactions
8 Replies
776 Views
Kesho Tarehe 23 September naaza safari ya kweda Dar. kwa ajili ya matibabu ya mtoto wangu aliyezaliwa na tatizo la mdomo sungura, nawashukuru sana wadau kunipa ushauri, maoni na kunipatia namba za...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani. Aidha, utafiti huo...
1 Reactions
1 Replies
670 Views
Habari za jioni ndugu zangu? Mke wangu anatatizo siku zake zina mvurugiko yaani hazijakaa sawa na mpaka sasa hana mimba. Je, mwanamke anapokuwa na tatizo hili anaweza kushika mimba? Pia, tatizo...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
January 30 ya kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa Kipaumbele (Neglected Tropical Diseases) kama sehemu ya kuongeza ufahamu na jitihada za kuyatokomeza magonjwa...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Wana Jukwaa la JF Shalom Shalom, Assalamu aleykumu, Tumsifu Kristo Yesu. Bila kuwapotezea mda wadau naomba msaada wa maelekezo kwa mwenye information kuhusu kampuni ya Zion medical ya huko...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habaii jamii doctor Ghafla siku ya juzi nimepata vipele kama vinavyoonekana kwenye picha sijajua vinatokana na nini,msaada please
0 Reactions
3 Replies
459 Views
Discuss the contribution of the government and the society to mental health growth. Naombeni msaada wanajamii
1 Reactions
3 Replies
26K Views
Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
𝐊𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐢𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐢𝐧𝐚𝐯𝐲𝐨𝐞𝐥𝐞𝐳𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐢𝐦𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚𝐣𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐚 𝐯𝐢𝐧𝐲𝐰𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐝𝐫𝐢𝐧𝐤 𝐡𝐚𝐬𝐚 𝐧𝐚𝐩𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐌𝐨 𝐞𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐡𝐮𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐢𝐢𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐢𝐥𝐞 𝐧𝐚𝐣𝐢𝐬𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐯𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐡𝐚𝐬𝐚 𝐢𝐥𝐞 𝐥𝐚𝐝𝐡𝐚 𝐟𝐥𝐚𝐧𝐢 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐮...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama sio mtaalam wa maswala ya kiafya Kaa kimya. Hii hali ilinianza juzi kama kiupele nikakitumbua, kuamka asubuhi nakuta vipele vimeongezeka. Vipele vinavyonuka na kutoa usaha vimejazana kwenye...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Kichaa cha mbwa ni maambukizi makali ambayo huathiri ubongo na mfumo wa neva. Inaweza kuwa mbaya ikiwa haitatibiwa kwa wakati. Kwa hivyo, watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa kichaa cha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa...
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Back
Top Bottom