Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi? Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Closed.
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Mwenzenu mie nina tafuta tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.napenda sana niwe mume kamili ila nguvu zimenipungua nikitaka kuingiza tu inanywea.sijui nimelogwa?
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Ninywe Maji Kiasi Gani Kila Siku Wakati wa Ujauzito? Uhitaji wa maji wakati wa ujauzito ni mkubwa zaidi ili kuhakikisha mfumo wa mwili unaosimamia maisha ya viumbe wawili unafanya kazi vizuri...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Mke wangu amejifungua waoto mapacha kwa sasa wana wiki 3. Changamoto anayopitia ni. 1..watoto kulia sana na kutolala hasa wakati wa usiku kuanzia saa 7 hadi saa 11 ndo kuna kuwa na unafuu...
3 Reactions
64 Replies
3K Views
Habari. Mke wangu alijifungua now ni siku ya nne ilikuwa njia ya kawaida,alichanika msamba na waliweza kumshona. Sasa kinachoendelea hadi leo sehemu zake za siri inatoka harufu kali yenye...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
7 Most Common Waterborne Diseases (and How to prevent them). Community Health Water-Borne Diseases Each year, waterborne diseases afflict hundreds of millions of...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Wadau wa Afya Habari wakuu! Ninahitaji Wapi Nitapata Daktari bingwa wa Watoto/Hospital ya watoto chini ya Miaka 5, Nina Mtoto ana Tatizo la Kifua Muda mrefu ni kama inaelekea kuwa Pumu! Hapa Dar...
1 Reactions
23 Replies
16K Views
Baada ya mgegeduano mkali uliochukua takribani masaa mawili uliosindikizwa na migugumio ya hapa na pale, hatimaye binti anatoka ghetoni kwa mkulungwa akiwa ameshikilia chupa ya maji ya kunywa...
3 Reactions
25 Replies
11K Views
D
1 Reactions
25 Replies
1K Views
1: Za leo wandugu, naomba kuuliza na kutaka kujua. Mimi niko kwenye ndoa ya kama miaka 2 sasa. Kwa kweli imekuwa na furaha zake pia ni vikwanzo vingi. Imefikia sasa mimi najishangaa sana kuwa...
5 Reactions
643 Replies
179K Views
Bandugu..kumekuwa na malalamiko mengi sana katika swala zima la mapenzi kwa siku hizi za karibuni na hii inasabanisha kuongezeka kwa waganga na matangazo mengi mara ya Kuongeza uume.Kutight...
4 Reactions
107 Replies
39K Views
FAIDA ZA PARACHICHI (Faida 20 za Kula Parachichi) Parachichi ni aina ya kipekee ya tunda. Matunda mengi kwa asili ni wanga lakini parachichi limejaa mafuta yenye manufaa makubwa kiafya. Tafiti...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nataka nifanyiwe vipimo vya kiwango Cha uwezo wa kusikia(Hearing capacity). Kutoka mkoa mmoja mpaka mwingine kwa hospital za serikali hasa ukiwa mtumishi wa umma Huwa Ina mlolongo mrefu sana...
1 Reactions
5 Replies
560 Views
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hofu ya uwezekano wa ongezeko la maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kwa miaka ijayo inazidi kutanda mitaani kutokana na matumizi yasiyo sahihi ya vipimo vya haraka (HIV Rapid test) vya kubaini...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Chakula cha moto kina madhara gani mwilini? Nikimaanisha ni viungo gani vinaathirika?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijui hata nifanyeje? Nilipata tatizo la ganzi mwilini, nikatumia vodonge vya Pregabalin miezi minne. Sasa kila nikiongea na watu nawarushia mate Kama manyunyu yanapuliza. Sasa watu hunikwepa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Natural, organic skin care remedies can replace most of the cosmetic and pharmaceuticals skin care products we buy and do a better job of protecting and healing skin. The skin is the largest organ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom