Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wana Jf Jamani mimi ninasumbuliwa na tatizo la macho tangu nikiwa na miaka saba macho yananiwasha sana muda wote mchana na usiku pia ila usiku ndio sana na kadri ninavyokua ndo naona...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ktk hali ya kushangaza,mme wangu ana korodani tatu. Korodani moja ni ngumu sana. Nimemuuliza kuhusu hali hiyo amesema kuwa yeye mwenyewe anashangaa hali hiyo. Hata gvyo anadai kuna kipindi...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wadau wa hili jukwaa? Naomba niende kwenye mada hii. Jamani Mimi kwa muda sasa naumwa ila nashindwa keelewa hasa ninancho umwa. Kwanza tatizo lenyewe ni kama la vdonda vya tumbo lakini...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke. Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali...
1 Reactions
8 Replies
12K Views
Zamani wakati ni mapyamapya kisukari na presha yalisemwa kuwa ni magonjwa ya matajiri. Je hilo limebadilika au kutokana na ukwasi wa watu binafsi kuongezeka. Na utajiri umekuwa kitu cha kawaida...
1 Reactions
5 Replies
790 Views
Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kula mlo wenye afya na kufanya mazoezi ya kutosha kunasaidia kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri. Kwa hiyo ikiwa mnajaribu kupata ujauzito, sasa ni wakati mzuri wa kufikiria kufanya mabadiliko...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Helo wanajamvi, Msaada kidogo wa dharura. Wiki iliyopita nilijilia tunda kimasihara tu bila kutegemea kutoka kwa mwenzangu baada ya ukame mkubwa. Nilishiriki pekupeku(dah) nimejikuta na hali ya...
5 Reactions
122 Replies
6K Views
Ndugu anasumbuliwa na hii kitu. Anayejua tiba tafadhali
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Siku za karibuni nilienda kununua hicho kipimo pharmacy nikapewa hayo maji badala ya buffer solution na nilipohoji kuhusu hilo, muuzaji aliniambia niondoe shaka hayo maji ni sawa na buffer...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wapendwa kama mada hapo juu inavyosema nina shida ya kupata morning wood(kusimama) asubuhi au naweza simama kwa tabu sana. Nakumbuka last year nilileta mada hapa kukosa hamu 6×6 km...
5 Reactions
56 Replies
3K Views
Hili tatizo nililonalo lilinitokea nikiwa na miaka 15 huko kijijini Singida niliteseka sana kwani wazazi hawakuwahi kunipeleka nikang'olewe maana yalikuwa kama magego 4 yote yametoboka hivo nikawa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wadau? Jamani naombeni msaada nimekuwa nikisumbuliwa na miguu sehemu za visigino hasahasa mguu wa kulia. [emoji117]Inapofika asubuhi nikiamka siwezi kutembea nachechemea kwa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua kwa ambaye ameshawahi fanya surgery ya hii kitu inanitesa muda mrefu na dawa nimeshatumia sana zinanipa unafuu tu. Niliongea na doctor anasema surgery yake haina uhakika sana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanamke mwenye uke mdogo ni ugonjwa au ni maumbile tu?
3 Reactions
76 Replies
28K Views
Mbegu za chia ni kati ya vyakula mashuhuri kwa afya bora, kwa sababu ya kusheheni virutubisho vya mwili. Gram 100 zimesheheni:- Fibers: 39 gm, Protini: 16 gm, mafuta: 37 gm (18 gm ikiwa ni...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi nina tatizo la tumbo kujaa nahisi digestion haifanyiki vizuri hivyo kuna uchafu umejaa kwenye utumbo mkubwa yaani nimepata kitambi cha madonda ya tumbo. Mara ya kwanza kabla ya kupata ulcers...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Upande wa kushoto juu ya kiuno umevimba na ni baada ya kupata ajali. Hivo naombeni ushauri na hospitali ya kuhudhuria yenye kutumia bima mkoani mwanza.
0 Reactions
3 Replies
289 Views
FAHAMU SULUHISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia...
11 Reactions
267 Replies
349K Views
Back
Top Bottom