Kulingana na hali hewa kuna hali fulani hivi kwa kila mtu kuwa na mafua sio mafua flue au kikohozi, hivyo kila mtu anakula/ kunywa dawa kulingana na uwezo wake.
Sasa kumekuwa na kila mtu...
Habari zenu wadau... natumai mupo wazima kabisaa...
kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ni kwamba mwaka wa 2 huu mimi nina tatizo la moyo kwenda mbio sana utadhani nimetoka kufukuzwa...
Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60...
Habari wana jf
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada wa kupata dawa nzuri ya kinywa inayoweza kutibu fizi zinazotoa damu mara kwa mara. Msaada wenu jamani.
Habari za leo wana JF,
Mimi nina mke ambae kwa sasa ana ujauzito wenye miezi 5 lakini ni kama mwezi mmoja sasa anapata KWIKWI mfululizo isiyokwisha.
Je, yaweza kuwa tatizo nini?
Ikiwa ni hatua ya kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema Serikali imesambaza kondomu milioni 111.934 nchini katika kipindi...
Wazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine...
Tangu asubui naharisha nimeharisha mara 3 Ila nguvu bado ninazo nachukua muda kidogo kutoka one episode to another.
Nangoja nione kama nitaharisha tena hali ikizidi nitakunywa Albendazole au...
hodi,wataalamu,naomba kujuzwa kama kuna madhara yeyote ya kung'oa jino gego la juu,maana nimekuwa nikisikia dhana mbalimbali juu ya watu kupoteza maisha na maradhi mengine ya kichwa ,wanaosema...
Habari za wakati huu.
Mimi ninatatizo limenikuta gafla moyo unauma sana na kuna kipindi unakua kama unapata joto kwa ndani, kuna wakati maomivu nayasikia mpaka kwenye shingo na kwenye sikio...
Habarini za hapa wanajukwaaa
Mimi ni mwanamke nnasumbuliwa na vijpu kwenye ovary, nmehangaika karibu miezi sita bila mafanikio
Kibaya zaidi limeota lingine upande wa kulia wakat lile lingine...
Hey!
Wataalamu wa masuala ya Cardiac System naomba ufafanuzi hapa;
Inasemekana kuwa mtu mwenye blood group O anakuwa resistant dhidi ya maambukizi mbalimbali ikiwemo HIV.
Inasemekana pia kuwa...
Msaada jamani ninasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume nimetumia madawa mengi kuniponyesha lakini ndio hali yazidi kuwa mbaya.
Nishatumia sana madawa ya ku boost na nyeto kwa sana lakini mpaka...
Wasaalam
Kuna rafiki yangu alipata ujauzito wakati bado hajajigundua, mume wake ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa haukuonekana...
Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.