Wakuu habarini.
Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya husikika upande...
PHARMACY YA NYUMBANI.
[emoji1314]Ukiwa na Acidity nyingi tumboni kula Tango
[emoji1314]Ukiwa na tatizo la kutopata choo kunywa mtindi
[emoji1314]Presha ya kupanda kula ndizi mbivu inaishusha...
Wapendwa amani ya Bwana iwe nanyi. Naomba msaada wenu tafadhali juu ya tatizo hili la moyo kuuma na kwenda kasi zaidi nawakati mwingine kushindwa kupumua.
Nimeshapima presha na kuonekana iko...
NIMEKOPI KUTOKA KWA AZIZ ALLY:
Ni ndefu lakini jitahidi kuisoma yote, ni muhimu sana.
TIBA RAHISI YA NYUMBANI
👉🏻Ukiwa na Acid nyingi tumboni kula Tango
👉🏻Ukiwa na tatizo la kutopata choo...
Habari za Muda Ndungu Zangu,
Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda.
Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa...
Kwa kweli ukila ugali unapata choo kingi tofauti na ukila wali wa vyakula vya ngano
Wataalamu wa chakula hii inasababishwa na nini!
Je kupi ni bora kula ugali,wali au vyakula vya ngano...
Nahitaji nimepatwa na ugonjwa wa akili please kindly psychologists naomba msaada wenu wa haraka sana nitawalipa pesa yoyote Ile mnayohitaji tafadhalini jamani.
Kuna muda napatwa na moods swing na...
Mlo wa mchana huuongezea mwili nishati ya kuendelea kujiendesha kwa ufanisi mkubwa pasipo kukwama.
Ni msaada wa kipekee unaousukuma mwili katika kuendesha mifumo yake pamoja na kustahimili masaa...
FAIDA ZA KUPAKA MAFUTA NYAYONI WAKATI WA KULALA USIKU
1. Mwanamke mmoja anasema babu yake aliishi miaka 87 bila ya kuumwa na mgongo, viungo, kichwa, meno wala mwili baada ya kufunzwa siri na mzee...
Na Jumaa Kilumbi,
31.10.2022
Punyeto ni nini?
ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri.
Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu...
Kupata kifungua kinywa ni namna nzuri ya kuianza siku yako, huupa mwili nishati ya kutosha unapoanza kuyakabili majukumu ya siku mpya.
Kwa wanafunzi, tafiti za kisayansi zinaonesha umuhimu wa mlo...
Wale wote ambao mmepona matatizo ya matumbo au bado manaumwa kama mimi tukutane hapa ili tuweze kushauriana nini cha kufanya kwani naamini humu Jf ndiyo kila kitu!Mimi nimeugua Tumbo sasa ni mwaka...
Habari wana jf poleni na pilika pilika za kila siku,
Naombeni MSAADA wa jambo hili tafadhali,
Kuna mdada ana umri wa miaka 30 alikuwa hajawai kufanya tendo na toka avunje ungo alikuwa hajapata...
Rafiki yangu anasumbuliwa na macho hasa kutoa machozi na mishipa ya macho kuuma, alijaribu kuuliza baadhi ya watu wanasema aache kula chipsi.
Je kuna uhusiano wowowte kati ya kula chipsi na...
Kipindi hiki Waislamu wote duniani wako katika Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama sehemu ya imani yao. Uzoefu na machapisho mbalimbali ya kitaalam yanaonyesha kuwa baadhi ya wanaofunga...
Naomba tujuzane kuhusu afya kwa ufupi
Kwakipindi cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la watu wanaokuja hospitalini wakilalamika kuhusu maumivu ya kifua pamoja na mgongo.
Zipo sababu nyingi...
Naombeni ushauri ninatatzo la kifua kubana, iko hivo kifua kilinibana ghafla tangu mwaka Jana, nashindwa kupumua vizr , na kichwa kinaniumwa muda mwingine nakua nayaona mapigo ya moyo unadunda...
Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata...
Wakuu habari
Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua...
Habarini Wana JF,
Nina swali kidogo. Hivi mtu aliyejeruhiwa kichwani mfano kukatwa na panga kwenye utosii anaruhusiwa kufanya mapenzi au mpka apone kabisa?
Na je, akifanya hajapona kuna madhara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.