Ulaji unaojali afya siyo tu huangazia aina ya virutubisho vinavyotumika, bali huzingatia pia mda sahihi wa ulaji wa vyakula.
Kwa kuwa usiku huwa ni muda wa kupumzika kwa watu wengi, mlo wa muda...
Nimesoma makala mbalimbali kuhusu viongozi na watu wengi waliofanikiwa katika Mambo Yao kwa kiasi kikubwa. Nilichokielewa ni kuwa wengi wao walijihusisha na suala la mapenzi kwa kiasi kidogo au...
Matumizi ya mara kwa mara ya vipodozi kwenye saluni yana athari katika ngozi ikiwa ni pamoja na kusababisha kuota mvi katika umri mdogo.
Pia yanasababisha mzio wa ngozi pamoja na matatizo kwenye...
Habari za siku nyingi wakuu na members wore wa JF.
Ndugu wana JF wezangu tarehe 25 mwezi wa sita mwaka huu, wife alijifungua mtoto wa kilo 6 na mtoto akawa na tatizo la ugonjwa wa mdomo sungura...
Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa...
Msaada wana JF,
Mimi jinsia yangu ni ya kiume,huwa kuna vipele vinanitokea kwenye eneo la nywele za chini karibu na mdudu wangu,huwa vinaanza na muwasho taratibu ndani ya siku mbili vinajikusanya...
Tafiti zinaonesha wanawake wanahitaji angalau dakika 20 za ziada za kumpuzika au kulala kuliko wanaume. Tafiti hizi zilifanywa na chuo kikuu cha Duke kilichopo nchini marekani.
Sababu kubwa...
Wazee ebu nipeni ushauri, ni michanganyo ya aina gani nikila nguvu za kiume zikae vizuri, nipige show za uhakika!!
Nimeshaanza asubuhi napiga tangawizi, maziwa ya mgando na kitunguu saumu...
Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo hili.
Ni kwamba ugonjwa unaoathiri korodani na...
Habarini za usiku ndugu zangu,
Mimi ni kijana wa miaka 27, nimeoa miezi mitatu iliyopita. Sasa, juzi ghalfa mke wangu akaanza kujisikia maumivu upande wa chini wa kulia. Baada ya kumpeleka...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti...
Habari wana JF,
Mimi nina kijana mwenye umri wa miaka 14 na anasumbuliwa na vipele mwilini kwa zaidi ya miezi miwili.
Nilimpeleka hospitali na majibu yakaja kuwa ana fangasi katika damu na...
Kama inavyojulikana njia ya mtu kuambukizwa VVU ni kipitia kujamiana ukiachana na njia zingine kama kuwekewa damu ya muathirika n.k
Leo nimeenda mazingira Fulani mkoani kilimanjaro kwa ajili ya...
Kinyesi cha binadamu hubeba aina nyingi za vimelea vya magonjwa. Baadhi ya vimelea hivyo ni Salmonella ambavyo husababisha homa ya matumbo (typhoid) pamoja na Norovirus ambao husababisha kuharisha...
Wagonjwa wa saratani hupitia changamoto kubwa ya ulaji inayotokana na maudhi ya dawa wanazotumia au tiba wanayopatiwa.
Matibabu yao huzongwa na vipindi virefu vya kubadilika kwa hamu ya kula na...
Wakati jamii ikitafsiri mwanaume kulia anapopatwa na matatizo ni udhaifu, wataalamu wa saikolojia na viongozi wa dini wanasema ni afya na humpa mhusika faraja ya maumivu anayopitia.
Wameonya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.