Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari za muda huu? Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya...
9 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wakuu, Nimewahi kujitekeza humu jamvimi nikiomba msaada wa dawa ya tatizo ambalo limenisumbua kwa muda mrefu sana la GERD. Tatizo hili nimekuwa nikitibiwa kwa muda mrefu nilianzia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu Ni ugonjwa unaosababishwa na acid ambapo uko kwa stage 2, Kuna mlango unaofunga mfuko was chakula baada ya kula,mlango huu huathiriwa na acid iliopo tumboni na hushindwa kufanya kz vizuri na...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari zenu. [emoji847] Dr Kihwaga hapa again[emoji847] Matumaini yangu mpo salama[emoji106] Kulingana na hoja iliyotufikia mezani siku ya leo on be half of MDs nitaomba niweke clear kwa kiasi...
7 Reactions
26 Replies
6K Views
Nina hitaji kufanya kipimo tajwa hapo juu ila sjajua nianzie wapi kwasasa niko dar Karbu madaktar kwa msaada
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Tatizo la kutokwa na nyongo ndani ya mwili mda wote husababishwa na nini na madhara yake ya yapi. Je hili tatizo linaweza kwisha?
0 Reactions
10 Replies
47K Views
Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Mishipa ya damu kwenye mguu wangu wa kulia imevimba sana ivo inanipa changamoto ya muonekano, Nimegoogle nkajua ni shida ya varicose veins. Ili tatizo Halinipi maumivu wala complications ila...
1 Reactions
2 Replies
751 Views
Ni wapi wanafanya semen analysis kwa hapa Dar, nikiweza kujua pia bei yake mtakuwa mmenisaidia sana. Tafadhali wadau, naomba msaada wenu.
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Changamoto za kiafya huja kwenye nyakati tunazotumia sukari nyingi za nyongeza, ambazo wazalishaji wa vyakula na vinywaji viwandani huiongeza ili kuboredha (kuongeza) ladha. Aina hii ya sukari...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari viongozi mimi ni mwanamke wa miaka 40 hivi kuna kipindi niliugua sana kiuno nikawa napewa tramadol nikawa nasikia nafuu kubwa sana. Sasa nimekuwa deoendant siwezi kumeza tramado saivi...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Tangu naanza kukua nimekua na tatizo la kung'ata ulimi kwenye vile vijipeele vyake mpaka natoa damu, Yani mpaka ulimi wote unakua na vidonda na midomo ivyoivyo hasa ya chini. Watu wananisema sana...
0 Reactions
3 Replies
691 Views
wadau naomba mnisaidie nile nini ili niweze kuongeza wingi wa damu mwilini?
0 Reactions
46 Replies
42K Views
mwenye kujua dawa ya ugonjwa wa mapele kisogoni kwa wanaume wengine wanasema ni fungus
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Kwema wakuu nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani Je, ni ipi tiba? Shukrani.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa naumwa nikaenda kupima wakasema nina UTI nikapewa cipro za siku 7, nikameza siku 2 tu nikasafiri nikasau dawa home nikapotezea na dawa yenyewe masherehe haya yakaanza na mipombe nikasema...
1 Reactions
5 Replies
643 Views
Kuacha Kutazama Video na Picha za ngono Nini maana ya picha za ngono? Picha au video za ngono ni mkusanyiko wa picha ama video zinazoonesha utupu wa binadamu. Lengo la picha na video hizi ikiwa...
13 Reactions
106 Replies
11K Views
Back
Top Bottom