Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wakuu naomba kujuzwa hili tatizo linatibika au ni namna gani linaweza kua solved Historia fupi : Mwenye tatizo hili ni dada yangu ameanza kuumwa tu bile kujua tatizo tangu mwaka 2019...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wakuu leo katika mkoa Mbeya wilaya x katika harakati za kutafuta maisha nimekutana na na story ngeni kwangu ya ungonjwa unaitwa KILA, nikaona nijaribu kuufatilia kiundani kidogo kwa hawa...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu. Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni...
4 Reactions
66 Replies
9K Views
Wakuu Salaam, Ndugu zangu ni mwezi wa tano sasa tangu ndugu yangu (Me) amepata tatizo la afya la kupooza kuanzia maeneo ya kiunoni hadi miguuni. Kiuno na miguu haifanyi kazi kabisa, hawezi...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Unaweza kujua kwamba kuwa na maji ya kutosha ni muhimu kwa utendaji wa kila siku wa mwili kama vile kudhibiti halijoto na kudumisha afya ya ngozi. Taasisi ya Afya ya Marekani kupitia utafiti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwango cha kawaida cha mtoto kucheza tumboni (quickening) hutakiwa kucheza mapigo 90 katika masaa 12 katika wiki 32 au walau mtoto apate mienendo 50 inayotambulika kwa muda maalum. Kupungua kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko Arusha naombeni msaada wa kupata daktari anayehusika na masuala ya afya ya akili, naona hili suala sio la kuficha.
1 Reactions
7 Replies
703 Views
Wakuu Habari za mida. Mimi Nina umri wa miaka 31 nimekua nikiambulia na tatizo la maumivu ya kifua upande wa kushoto. Maumivu hayo pia nayapata kwenye mkono wa kushoto wakati mwingine mkono wa...
1 Reactions
36 Replies
10K Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 ndio nipo kidato cha sita mwaka huu, lakini nimekuwa na tatizo la kutoka kwa mkojo mdogo sana au kutoka kwa shida na ata ukitoka bado nahisi kama kuna mkojo...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
naombeni mnifafanulie vizuri majibu haya ya ultrasound. SASISHA (updates):- Namshukuru ALLAH leo tarehe 02 januari 2023 mimi pamoja na familia yangu tumebarikiwa watoto wawili wote wa KIKE...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu habarini. Mwendelezo: Ninaomba msaada kwa anayeweza kunishauri. Nimekuwa nikipata maumivu ya kifua eneo la katikakati ya kifua kurudi chini zinakoishia mbavu. Mara nyingi maumivu haya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
My baby is almost 5yrs now!! Hapendi kula kabisa yaani .nimetumia unga zote za lishe , nimebadili mapishi yote lakini wapi. Akifungua shule anakonda vibaya mno maana sidhani kama anakula vizuri...
2 Reactions
9 Replies
730 Views
Habari za asubuhi waungwana wote hapa, Yupo ndugu yangu ameanza kuwa mweupe katika sehemu mbalimbali za mwili wake, weupe unaofanania kama wa zeruzeru vidoleni na miguuni. Je, huu ni...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Ni usiku ila mimi Sina usingizi. Nina maumivu ya kiuno yasiyoelezeka. Naumwa kama mwez wa sita huu nimeenda hospitali bila mafanikio. Kinafunda kama kina usaha ndani. Pia Nina maumivu ya kichwa...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakubwa shikamoo mm ni kijana nimezaliwa 2001... lakini nilikutana na binti chuo cha ualimu morogoro...pale kigurunyembe...mwezi wa tano tarehee moja...tulikutana na mwanachuo mwezangu wa ualimu...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu, natumai mmeamshwa salama. Nimekuja kwenu naombeni msaada wa kitabibu, nasumbuliwa na tumbo la chini la uzazi linaniuma sana mwezi wa pili sasa hasa upande wa kulia mpaka...
0 Reactions
13 Replies
982 Views
Wakuu ni matibabu aina gani ya kongosho bila operation? Maana naogopa sana kufanyiwa operation lakini maumivu pia yananitesa! Msaada tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hope humu kuna madaktari wabobezi kabisa, na case kama hii huenda ilishatokea kwa watu kadhaa na wakapata suluhu. Ipo hivi jana baada ya kupata lunch nilihisi kichwa kuuma sana ,nikaona kwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
549 Views
Kirusi cha HPV (Human Papilloma Virus) kimetajwa kuwa hatari kwa kusababisha saratani za aina mbili zinazokua kwa kasi ikiwemo inayoathiri koo na shingo ya kizazi aina inayoongoza kwa asilimia 36...
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Habari za weekend naomba maelezo namna ya kumeza vidonge vya AZUMA Unakunywa vyote 3 mara moja au kimoja kimoja? Na baada ya mda mda gani? Ahsanteni
1 Reactions
16 Replies
35K Views
Back
Top Bottom