Habari yako ndugu. Karibu tena, tunaendelea na makala zetu kuhusu madhara ya kisukari.
Kisukari huharibu figo kwa namna mbili: namna ya kwanza ni madhara ya moja kwa moja yatokanayo na uwepo wa...
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5.
Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu...
Salama wakuu !!
Kwa wataalam wabobezi mnaweza kuisemeaje hii,, Mfano unachek blood pressure wakati wa mchana kipimo Cha chini Ni 48mmhg,, lakini katika kipindi hichohicho wakati wa asubuhi mara...
Nimesikitishwa baada ya kuona Barua yako Ya majibu uliyowaandikia Umoja wa WAHITIMU WA SHAHADA YA UTABIBU NA UPASUAJI,
Kwa barua yako yenye kumbukumbu No.MB.131/220/01/36
ilikuwa na kichwa cha...
Habarini wakuu:kuna hii mila ya ukeketaji wanayofanyiwa watoto wakike hata wale walio wadogo kabisa kiumri, mila hii hasa ipo mkoani #Mara na mkoa wa #Manyara! Je kuna faida yeyote ile kiafya kwa...
Biringanya ni moja ya vyakula maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupatikana pia kwenye maeneo mengi ya bara la Afrika. Kwa upande wa nchi za Ulaya, hupikwa kama kifurahisha kinywa...
Ugonjwa wa homa ya manjano (Yellow fever) husababishwa na vimelea vya virusi kutoka genus (jinasi) ya Flavivirus ambao huenezwa na Mbu.
Mbu hao hupatikana kwa wingi katika sehemu za ukanda wa...
HABARINI ZA WEEKEND WANA JF,
Natumai mu buheri wa afya.
Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania.
Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa...
Wadau naombeni jina la kimiminika kisichokua na madhara kwa mtumiaji kwa ajili ya kumlainisha mke wangu sehem zake. Hii ni kwa ajili ya kumpa foreplay(sehem muhim sana hi kitandani) ya kutosha na...
Ni mwezi wa pili sasa nasumbuliwa na matatizo ya kiuno kila nikisimama au nikikaa muda mrefu
Nikikaa chini kuja kunyanyuka napata maumivu makali sana kuna wakati kiuno kilikamata hadi nasimama...
Mtandao wa #Bloomberg umeripoti kuwa maambukizi hayo huenda yamewafikia watu Milioni 248 ambao ni sawa na 18% ya idadi ya watu wote ndani ya siku 20 za Desemba 2022.
Desemba 22, 2022, kampuni ya...
Salam wakuu,
Leo usiku wakati nampa mbwa wangu (6months puppy) chakula amekua hajachangamka (mnyonge), halafu kala chakula kidogo tu akaacha.
Ningependa kufahamu kwa wataalam je, atakua na...
Wadau, naomba msaada wenu. Nimengoa jino na leo tar 26/7 nna siku ya nne. Jino lenyewe ni namba 7 kwa sababu nimewasikia madaktari wakilitaja. Lilikatika wakati wakiling'oa na ikasababisha watumie...
Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye...
L-Arginine na L-Citriline hizi ni supplement mbili zinazoshabiana sana;
Je, kuna aliyewahi kutumia zikamsaidia saidia kusukuma siku?
Je, kwa wale wenye tatizo la peripherial Artertly disease ni...
Ni kwa wale wenye vvu na hawajaanza kutumia ARVS,Kuna dawa ya kumaliza kabisa vvu mwilini.kwa mwenye shida ani pm
wahi utibiwe kabla vvu havijakuathiri sana
Nina tatizo la kupata maumivu makali tumboni au nikila chakula chochote chenye sukari, ugali, au nikinywa pombe, nikibana mkojo kwa dakika kadhaa.
Na maumivu haya yanatokea chini ya kifua halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.