Habari,
Nahitaji msaada, mke wangu anasumbuliwa na tumbo na hii ilitokana baada ya kujifungua mwaka 2018 alichanika sana hivyo ikabidi ashonwe na pia aliongezewa damu, baada ya kupona tumbo...
Habarini wakuu. Kumekuwa na imani potofu kuwa mtu anayeharisha hatakiwi kutumia vitu kama soda na juisi. Utasikia, "Usimpe soda huyo anaharisha."
Ukweli ni kinyume chake. Mtu anayeharisha...
Habari wa jf natumai muwazima wa afya tele huwa sikosi kuingia jf pindi niwapo free napenda ksoma mijadala mbalimbali inayowasilishwa humu pia kusoma maoni ya memba ila ni mara chache sana...
Naombeni msaada wa kujua dawa ya minyoo, Nimeshatumia aina mbalimbali lakini naona Bado siijafanikiwa,
Mpaka sasa nikienda haja kubwa nahisi minyoo inataka kutoka lakini hawatoki wanarudi tena...
Tatizo la VVU/UKIMWI linaendelea kuwa tishio kwa maisha ya binadamu. Pamoja
na jitihada mbalimbali za kitabibu, imeonekana kuwa watu wengi wanaoishi na
virusi vya UKIMWI (VVU) au UKIMWI...
Zaidi ya Maambukizi Milioni 1 ya Magonjwa ya Zinaa (STIs) yanatokea duniani kote Kila Siku, mengi kati yake hayana Dalili za kuonekakana.
Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani, kila...
Mambo vipi wakuu, jamani kuna ndugu yetu amekuja kututembelea, sasa tukiwa tumekaa tunapiga stori ghafla damu ikaanza kumtoka puani.
Tulipomuuliza akasema kwamba hii sio mara ya kwanza kumtokea...
Wakuu habari zenu,
Shemeji au wifi yenu ni mjamzito karibu anafunga mwezi wa tatu. Mimba bado ni changa.
Kuanzia mimba ilipotimiza miezi miwili amekuwa akilalamika sana tumbo kumuuma kwenye...
Kutokana na mada ya hapo juu je, upungufu wa hiyo hormone unasababishwa na nini. Je, watu wapi hasa inawapata watoto, vijana, wazee na kama kijana imempata inaweza kurudi ikawa kawaida manake ni...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake...
Wadau,
Tatizo hili ni kubwa tena sana na wajanja ni wengi wanalia watu hela zao. Mie ni mmoja wa waathirika wa hili tatizo na nimetumia mitishamba sana na sijawahi kupona hili Tatizo. Wengi au...
Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi
Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja.
Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri.
Hamu inakata ghafla Mara baada ya...
Mwaka jana nilipost hapa kuhusiana na rafki yangu aliepata ajali na kupoteza nguvu za kiume, kupelakea ndoa yake kutaka kuvunjika, sote tunaelewa kwmba waganga weng siku hizi ni waongo, tulienda...
Habari wapendwa?
Kama mada ilivo hapo juu yakuwa tuna baadhi ya wahudumu wa mahabara akikuhudumia haweki jina lake kabisa pale panapotakiwa jina lake, je huu ni wizi pia au kuna nini nyuma ya...
Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale waliomaliza majukumu yao ya uzazi.
Tatizo linapojitokeza huleta athari nyingi kwa mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.