Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari Wana jamvi, Msongo wa mawazo na huzuni ni jambo ambalo karibia kila mtu anapitia, ila pengine tunatofautiana ujasili na jinsi ya kukabiliana na changamoto za kila siku. Kumekua na matukio...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Habari, Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama...
2 Reactions
4 Replies
609 Views
Kukutana kimwili bila kutumia kinga na mwanamke aliyejufungua kwa oparation baada ya kupita miezi mitatu inaweza kupelekea akapata ujauzito?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Komamanga ni mojawapo ya matunda yaliyodumu duniani kwa karne nyingi sana, kisayansi huitwa Punica granatum. Virutubisho Huwa na muunganiko mkubwa wa kemikali za phenolics, flavonoids...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za Muda huu wapendwa, naomba kujua nitumie Nini kuponya jicho lililovimba na linauma pia, nimeamka tu asubuhi nimejikuta hivyo ila nahisi ni kutokana na vumbi la siku mbili tatu zilizopita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano. Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni mwezi mmoja umepita Sasa tangu nikutwe na gonorrhea, nimetumia dozi mbalimbali lakini ugonjwa huiponi. Dawa nilizo tumia ni 1. Azuma na metronidazole, baada ya wiki nikashauriwa kutumia azuma...
7 Reactions
105 Replies
9K Views
Maldives! Wakuu kwema? Hivi inachukua mda gani bangi kuondoka kwenye ubongo wa binadamu mpaka urudi kuwa normal? Yani naongelea ile full Cannabinoid detoxification. Yani mpaka pale Neurones...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Tatizo limeanza juzi, yaani natoa haja ndogo malra kwa mara kwa shida sana pia tumbo linaniuma nitumie dawa gani?
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari, Nina tatizo la kupata maumivu baada ya tendo la ndoa(sex). Uume unakuwa na maumivu mno. Hasa kwenye mlija wa mkojo. Ambao upo ndan ya uume. Nimepime damu na mkojo nimeambiwa nipo sawa...
1 Reactions
15 Replies
10K Views
hello. kicha cha habari kinajieleza, tafadhari kwa anaefahamu upatikanaji wa dawa tajwa hapo juu namba zangu ni 0687411568
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Habari za jioni wakuu poleni na shughuli za hapa na pale Nina jambo kidogo nahitaji tushirikishane inawezekana hili jambo linawatokeaga na wengine ningependa kujua tatizo hili lina sababu za...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Tafadhali kama wewe si mwanaume au ni mwanaume usiye kuwa na ndevu hii haikuhusu.. Nilikuwa naongea na daktari mmoja katika hospitali moja kubwa sana katika nchi niloyokwenda kutembea..chonde...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Msaada wenu wakuu mwanangu ana umri wa mwaka mmoja na nusu toka juzi kaanza kutapika kila anapoonja chakula umchukua takribani dakika tano tu anapokula chakula anatapika. Nimempeleka hospitali...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
habari wadau za jioni mwenye uzoefu na hizo natural herb supplements ambae amewah tumia manake nimeambiwa zinasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kuboost immune system kwa wale wwnye viral...
0 Reactions
3 Replies
843 Views
Hali ya Mtoto wa Jicho hutokeap pale lenzi ya jicho inapopata ukungu na kuathiri uwezo wa kuona. Ni chanzo kikuu cha upofu kwa watu wenye umri wa miaka 40 na kuendelea. Chanzo Visa vingi vya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za mchana, Naomba usaidizi kwa wataalam wa macho haya maelezo ya Dr yanaelezea mgonjwa anatatizo Gani? Maana kapewa miwan lkn akitembea anaona km mabonde mabonde afu vitu km vimebinuka...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
When it comes to sex and sexual life, lasting longer in bed is the most popular discussion among men. Among women, it is how often they reach orgasm and how long it takes and very few times how...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani. Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina...
11 Reactions
54 Replies
3K Views
Back
Top Bottom