Hii kitu sijawahi kuhadithia mtu hahaha, mara ya kwanza enzi hizo niko form two kwenye NECTA, niseme tuu nilikuwa na focus sana na mamitihani ile na sijawahi kusoma kwa focus kama vile.
Basi siku...
Ndug wana JF naombeni ushauri nina mtoto wa miezi 5 lakini huyu mtoto Kila ukijaribu kumsimamisha hata miguuni anakunja miguu lakini ana uwezo wa kurusha miguu vizur lakini unapohitaji...
Nauliza tuu jamani hivi kwani nini kila mtu mwenye ulemavu wa akili (taahira) na kuwa na mwili mkubwa/bonge ,baunsa awe mwanamke au mwanamke je kuna mahusiano gani maana kila ninaowaona wana mwili...
Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe source.Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe | Light On Conspiracies - Revealing the Agenda
HATARI YA CHANJO KWA WATOTO...
Antibaotiki (Kiingereza antibiotics, mara nyingine Kiua Vijasumu) ni kemikali ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa vijidudu vinavyosababisha magonjwa. Mwanzo neno antibaotiki lilitumika...
Habari za wakati huu, niende moja kwa moja kwenye uzi.
Kiukweli magonjwa ni mengi sana ya kuambukizwa na haya yasiyo ya kuambukizwa.
Lengo la kuleta uzi huu ni baada ya kushuhudia mtu akikata...
[emoji269] *UFAHAMU UGONJWA WA NGIRI NA TIBA YAKE* [emoji269]
[emoji298]Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za...
Wasalam JF,
Wakuu nina kichanga cha miezi mitatu,tangu akiwa na mwezi mmoja nimekuwa nikimwambia mama yake amchunguze vizuri hasa sehemu za siri.
Akawa ananiambia mtoto ana korodani moja...
Waungwana naomba ushauri wenu katika hili tatizo hili limekuwa sugu kwangu huwa natumia dawa za kupunguza gesi lakini zikiisha tatizo linaendelea
Mwenzi wangu kwa maana ya mke kanivumilia kwa...
Husika na kichwa hapo juu, mimi ninawashwa sana pumbu hasa baada ya kutoka kuoga na muda mwingine zinajianzia tu hata nikiwa na watu wa heshima.
Naombeni msaada nitumie dawa gani?
Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni, hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari...
Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na...
Wakati Serikali ikiweka mkazo katika huduma za kusafisha damu (dialysis), hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani, inatarajiwa kuanza kutoa huduma hiyo Desemba 15, 2022.
Hatua hiyo itapunguza...
Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.