Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wadau mama yangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hospitali anapewa pain killer tu. Naombeni msaada kwa wengine wanaofahamu tiba maana penye wengi hukosi msaada. Asanteni
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza wadau nipo kwenye hali ya taharuki toka siku ya juzi nikikutana na mwanamke uume wangu unabaki kuwa legevu tofauti kabisaa na hali yangu halisi...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Wakuu kama Mada hapo juu nia ni kushirikishana mbinu au dawa mbalimbali ambazo uliwahi kutumia na ukapata mafanikio ili na wengine wenye matatizo kama yako wawezi kupona au kujikinga Mfano mimi...
1 Reactions
10 Replies
736 Views
Je kutokwa na fluid nyeupe uumeni ni dalili ya ugonjwa wa kaswende? Naomba majibu tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu? Nimepatwa na hali ya kutokwa na vipele vidogo mwilini na vinawasha sana. Je ni nini tatizo na ipi tiba yake? Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Habari zenu wapendwa, mimi nina matatizo ya mguu wangu wa kushoto kuvimba kwenye kifundo juu ya kisigino ( ANKLE) nimejaribu kutumia dawa za hospitalini na hata za mitishamba lakini bado sujapata...
0 Reactions
57 Replies
138K Views
Habari wakuu Kuna aliywahi pona GOITA bila upasuaji Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Nahitaji kufanyiwa Intrauterine insemination (IUI), maana tumejaribu kawaida inashindikana, napata wapi hiyo huduma hapa Tanzania na itagharimu kiasi gani, wajuzi mje kunisaidia.
2 Reactions
52 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu. Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu ambaye ameoa mwaka wa 10 sasa. mke wake ana tatizo sugu la kuchubuka ukeni wakati wa kugegedana jamaa anajitahidi kumuandaa lakini...
3 Reactions
22 Replies
8K Views
Nina ndugu yangu yapata week sasa anasumbuliwa na kujaa gesi tumboni. Tumeenda hospitali lakini haijasaidia. Pili; alipewa dawa inaitwa magnesium ikatokea imemkataa. Sasa nashindwa kuelewa nini...
2 Reactions
24 Replies
8K Views
Nina mdogo wangu ambae Ni mwanafunzi. Miezi michache iliyopita alijiovadozi(alikunywa vile vidonge vya majira vile vyekundu alitumia kimoja kutwa mara 3, kwasababu alijihisi ana mimba akaenda duka...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Msaada ndugu zangu Nina mtoto wa kike ana mwaka na miezi 6 lakini bado utosi wake haujafunga kabisa yani bado unadunda kama mtoto mchanga
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Wakuu kama bandiko linavyosoma. Kwa yeyote mwenye mawasiliano au kufahamu ofisi ilipo ya tabibu anayeunga mifupa iliyovunjika kwa njia za asili, naomba aniachie namba au maelekezo hapa. Hii itakua...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wikendi wana jmm, Nimekuja naombeni ushauri wenu. Ni hivi wiki iliyopita kuna demu nimetafuna kimasihara mnamo Jumatatu na niliuza mechi sikutafuna na ndom. Sasa leo nimeamka...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Kesho tarehe 1/12/2022 twendeni tukapime maambukizi ya vvu ili kujua afya zetu. Endapo utakuwa umeathirika unaweza kutumia dozi ya ARV na kuepusha maambukizi zaidi. Shime wafanyakazi wa sekta...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Naomba msaada figo ya upande mmoja ikijaa maji inasababishwa na nini na ni njia gani za kujikinga na hilo tatizo
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention -...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Habari wakuu, 1.Tujuzane hapa kama unawajua waganga wa asili wanaotibu meno,hasa fizi kuvimba na maumivu makubwa ya meno. 2. Dentists wazuri. 3.Hospitali nzuri za meno. 4. Dawa nzuri ya meno...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Hivi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo/ kusababisha kuharisha? Jirani yangu ameniomba nimshauri lakini nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe...
1 Reactions
42 Replies
32K Views
Back
Top Bottom