Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli. Jana kapimwa anadamu 6.3 he hiyo damu IPO sawa au anahitaji kuongezewa?
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Nimepungua kilo kutoka 98 mpaka 75
27 Reactions
75 Replies
6K Views
Tanzania imetajwa kuwa nchi ya mfano katika udhibiti wa maambukizi ya Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Ukimwi. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi...
0 Reactions
1 Replies
434 Views
Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imebainisha hayo katika ripoti ya kufikia lengo la kimataifa la kupunguza vifo vinavyotokana na VVU ifikapo mwaka 2030. Lengo ni kuwa ifikapo mwaka huo 90% ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Si unajua tena gharama za kumuona dokta yaani consultation fee ilivyo kubwa? Kama kuna yeyote humu anisaidie ushari, mara kadhaa nimeenda hospitali sababu ya vidonda ndani ya mdomo pembeni, wakati...
0 Reactions
6 Replies
749 Views
Wakuu nani anaejua dawa ya nyonga? Yaani zinanipa shida sana kila nikitoka kufanya 'jogging'. Sijakimbia siku nne nikizisikilizia, ajabu leo jioni nimekimbia zinaniuma hadi...
1 Reactions
17 Replies
993 Views
Manzi wangu nampenda sana, ila kero kuu kutoka kwake ni huo ugonjwa wa fangasi, akitumia dawa zinaisha ila baada ya muda zinarudi, keshatumia dawa za kuweka ukeni, vidonge vya fluconazole lakini...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari za mchana naomba msaada wa kitaalami Nina Maumivu makali sana chini ya bega la kushoto tangu mwezi wa nane, nimejaribu kwenda hosp nikapimwa x-ray hawakuona shida, niliwah vunjika mkono wa...
0 Reactions
6 Replies
955 Views
Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s.Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini...
1 Reactions
8 Replies
913 Views
Habari wana jamvi, nina simu aina ya Samsung nilikuwa niliuziwa na mtu, kwa bahati mbaya hii simu kumbe ni zile za mkopo za M Koba Ya Uganda, nimekuwa natumia vzr lakn leo imejifunga na inaomba...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wana JF Maana ya kuuliza hivyo kuna siku moja nimeenda zahanati tena ya serikal nmefika pale nikamuelezea daktari hali yangu na yeye akanielekeza kwenda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechukua uamuzi huo baada kushauriana na wataalamu kutokana na uwepo wa malalamiko kwamba jina la sasa lina Ubaguzi wa Rangi na Unyanyapaa. WHO imehimiza mashirika...
1 Reactions
0 Replies
692 Views
Katika kitu kinachonisumbua kwa Sasa ni huu ugonjwa wa UTI mke wangu. Anasumbuliwa na huu ugonjwa hauponi hapa nilipo naona unantia hasara na suluhu sipati kachoma sindano, kameza dawa kafyanyiwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, Nataka kujua taratibu za kufuata ili kuiunga kampuni na Bima ya afya (NHIF) au AAR,ili wafanyakazi na familia zao waweze kupatiwa huduma za afya...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
UTI ni ufupisho wa maneno Urinary Tract Infection, au kwa kiswahili ikiwa ni maambukizi ya mfumo wa mkojo ambao huhusisha figo, kibofu cha mkojo, mrija wa mkojo pamoja na mrija unao unganisha figo...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna mtu anaomba msaada, ushauri kuhusu requirements za clinic registration: Ka-clinic anakotaka kukasajili kana Daktari (MD) mmoja na clinical officer mmoja. Na hawa nd'o kila kitu (kazi za nurse...
0 Reactions
4 Replies
17K Views
Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu? Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf....nina dada angu anasumbuliwa na chunusi mda mrefu sasa kashauriw atumie acnotin 20gm kwa siku 3 lakin pharmacy kaambia inabidi atumie dose within siku 30 na ...je kuna ulazima...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nimekuwa na mgonjwa wa kansa. Nikawa na jamaa akanishauri kujaribu seli shina. Nikaungwa na mtalaam. Akanidokeza vitu vizuri kiasi cha kusema baada ya mwezi atapata nafuu kubwa hata kuachana...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom