Habari zenu wana JF?
Naombeni msaada wenu kwa anayejua wapi nawezapata daktari au hospital ama nifanye nini, nimekuwa na shida ya meno au dental formular yangu si nzuri, nimekuwa nikisumbuka na...
Wakuu habari za mida
Mimi ni kijana wa 20' age .
Nimepatwa na ugonjwa [matatizo] ya usingizi uliopitiliza, nimekuwa mtu wa kulala Mara kwa Mara pasipo kuchoka, mawazo, depression zozote.
Nikikaa...
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili.
Jamani mtoto wangu ana tatizo la kikohozi kisichopona.Nimejaribu kumpa kila aina ya dawa ninazoshauriwa na madaktari matokeo hupata nafuu kwa wiki moja tu...
Wakuu habari, naomba kupewa mwongozo kuhusu ununuzi wa miwani.
Bei, nini cha kuzingatia na mahali ninapoweza kupata huduma ya uhakika kwa Arusha au maeneo ya karibu.
Sababu kuu ni kwa ajili ya...
Wakuu
Mimi Nami Nina Tatizo moja. Kila mwezi nasumbuliwa na malaria. Napima, then Namezaga mseto, nakuwa sawa Ila ndani ya siku 30, inarudi tena. Najikuta kila mwezi nameza sawa. Natumia...
Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji?
Uume ulichubuka na kutoa usaha
Then nyie mpo kimya tu
Daktari anasema Kuna salfa
Lakini why nyie Viongozi wa...
Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji.
Mganga Mkuu...
Habari wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa miaka 25, kwa muda wa miaka miwili hivi nimekuwa na tatizo la kutoka kipara maeneo ya mbele ya kichwa, lilianza kidogo kidg mpaka muda...
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa...
Kuna walio na tatizo...
Habari wadau,
Msaada Mwanangu anatapika na kuharisha na muda wote analala tu, naombeni mtu ambae ana experience na hii kitu.
Nimeenda hospitali mbili tofauti wamempatia madawa kunywa shida na...
Habari za leo wapendwa, paracetamol ni dawa ambayo inapatikana kirahisi madukani na intatumika sana Paracetamol inatumika kupunguza homa na maumivu katika mwilini. Ni bora tufahamu dose na...
Nilipima CT-IVU with contrast Muhimbili
Na haya ndio majibu
Daktari ameniambia niende week ijayo"
Nilikua nasumbuliwa na jiwe kwenye Figo"
Mwanzoni kabla sijaenda muhimbili kuna hospital nilipima...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Wadau wangu naamini hamjambo kabisa.
Nikiwa kazini, nyumbani au hata nikikaa na wenzangu najisikia vibaya kwani huwa najamba sana na...
Habari ya muda huu ,natumai mmeamka salama yote anayewezesha kuwepo mpaka muda huu ni Mungu pekee.
Bila ya kwenda mbali, nimeamua kuandika huu uzi kwa lengo la kupata ushauri juu ya ugonjwa huu...
Kwema?
Aisee mimi naishi na mwanamke ambae alikua muathirika akaanza matumizi ya dawa na sikumuacha. Nilimpa sapoti nzuri tu na nampenda sana nilikubali lolote
Baada ya miezi 6 siku ya kwenda...
Habari JF member,
Ugonjwa wa typhod umeweka makazi ktk mwili wangu, nishatumia antibiotics mbali mbali kama cipro ya egypt, germany, etc
Napona kwa miezi miwili then baada ya hapo unarudi upya...
Wiki iliyopita nilipata muda wa kwenda hospitali moja hapa Arusha kubwa tu nilikuwa nasumbuliwa na jino ila bahati mbaya nilienda siku ambayo hawatoi huduma ya meno.
Ila kimbembe kinakuja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.